Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye amepuyanga tu. Lissu hawezekaniki.

Lini tena atahutubia? Sasa sitaki kosa msikia.
View attachment 2981436
Ccm walio wengi wamefurahia nondo za lissu labda wale ccm mafisadi ndo wanajificha kwenye hoja za muungano
 
Hoja za Lissu zinahitaji utulivu sana kuzijibu. Hata hivyo Kinana amejitahidi ingawa kuna maeneo jibu pekee la hoja za Lissu ni Serikali 1 na Katiba Mpya. Otherwise hakuna anayeweza kuzijibu hata telete Malaika
Mbona wanaogopa kufanya referendum kama wanahisi bado wananchi waupenda muungano

Tungekuwa na tume huru tuitishe referendum
Ipigwe kwanza kura ya serikali 1,2na3 itakayoshonda iundiwe katiba

Hotuba nyingi hazisaidii
 
Kama umemsikiliza Mzee Kinana mwanzo mwisho utakubaliana na mimi kuwa Lissu na CHADEMA wana hoja na Mzee Kinana hoja zake ni dhaifu sana kwa mazingira ya hapa kwetu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 
Ungeitisha mdahalo, Lissu na team wakaalikwa, Kinana na team wakaja, wananchi tukakaa kushuhudia mtanange na kuuliza maswali, ingefana sana.
 
Kama umemsikiliza Mzee Kinana mwanzo mwisho utakubaliana na mimi kuwa Lissu na CHADEMA wana hoja na Mzee Kinana hoja zake ni dhaifu sana kwa mazingira ya hapa kwetu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Acheni kumuona Lisu ni mungu wenu, mbona mnajishushia hadhi nyie chadema. Lisu akitaka hata mkeo si atambongonyoa kwa jinsi mnavyomuona ni mungu. Mbona lisu kilqza tu. Hata darasani mi nilimzidi mbali sana
 
Kama umemsikiliza Mzee Kinana mwanzo mwisho utakubaliana na mimi kuwa Lissu na CHADEMA wana hoja na Mzee Kinana hoja zake ni dhaifu sana kwa mazingira ya hapa kwetu

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kinana kamjibu Lissu kiungwana,Lissu anajua hilo ndio maana baada ya kikao naambiwa kampigia simu Kinana kumuomba yaishe.
 
Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye amepuyanga tu. Lissu hawezekaniki.

Lini tena atahutubia? Sasa sitaki kosa msikia.
View attachment 2981436
Au akili yako ni ndogo sana kumuelewa kinana! Hivi inajua unaweza kiwa na akili ndogo ya kuelewa mambo au kumuelewa mru flani halafu ukamuona yeye ndo kashindwa kumbe we ndo kilaza
 
Naunga mkono hoja. Hoja za Lisu ni:-

1. Kwann iwe dhambi kwa mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar, lkn mzanzibari anamiliki ardhi bara?
2. Kwann hairuhusiwi mtanganyika kupiga kura ama kugombea uongozi Zanzibar, lkn wazanzibari wanapiga kura na kugombea uongozi bara?
3. Kwann rais Samia ambaye ni rais wa JMT (anayetokea Zanzibar), anaouza bandari za Tanganyika na hauzi bandari za Zanzibar?
 
Nilijua tu Kwa nondo za Lissu huko Lumumba hakutakalika! Hata hivyo ccm bahata yao ni mbaya wameshachelewa! Wananchi tumeshafahamu kila kitu! Na Mh jemedari wetu Lissu tunaomba ututajie na viongozi wa dini waliopewa tenda ya kifisadi ya kuagiza sukari.
Sana atawadanganya tuu,awataje aone kama hataishia gerezani.Lissu mnampoteza nyie
 
Back
Top Bottom