Tundu lissu ni GOAT katika siasa za Tanzania.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,454
46,819
Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania .

Kapigwa risasi Ila yupo imara
Kawekwa ndani sana Ila yupo imara

Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara.

Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule.

Hivyo Lissu to me is GOAT

Great of all time.

Nb vijana hakikisheni njaa haisomeki katika AKILI zenu na MOYO ndo mtafika hii hatua aliyoifikia Lissu ya kuwa GOAT
 
Umemsikia Kinana? Political Genious? Very articulate, composed, kiwango cha Havard
 
Huyo ni mbuzi meee. G.O.A.T ni JPM kila amsikiaye povu linamtoka
 
Lissu ni mtu makini anayesoma sana na kufanya tafiti, sio rahisi kufanya mjadala na Lissu na ukatoka salama hasa kwa wanasiasa wetu hawa wa sasa wasiojua chochote zaidi ya 'Mama anaupiga mwingi, mama oyee'
 
Tundu Lissu ndo mwanasiasa bora Kuwahi kutokea Tanzania .

Kapigwa risasi Ila yupo imara
Kawekwa ndani sana Ila yupo imara

Kaondolewa bungeni bila sababu za msingi Ila yupo imara.

Tundu Lissu ndo mwanasiasa aliyeweza kuishinda njaa ya tumbo na kubaki na umaarufu wake ule ule.

Hivyo Lissu to me is GOAT

Great of all time.

Nb vijana hakikisheni njaa haisomeki katika AKILI zenu na MOYO ndo mtafika hii hatua aliyoifikia Lissu ya kuwa GOAT
Sio kuhakikisha NJAA tu ndo haisomeki, shule nayo muhimu ni muhimu sana mkuuu na UJASIRI. Jamaa elimu yake ya masuala ya sheria inamsaidia sana, nini aseme nini aache, ajitetee vipi nk.
 
Back
Top Bottom