Hahaha hawanaelewi. Ngoja Lissu aendelee kuchomoa.betriHuwa ninachekaga sana hilo neno mwanaharakati. Unaweza kunipa tofauti ya uanasiasa na unaharakati? Au uanasiasa ni kuwa kondoo kama Lowassa? Nakumbuka hata Slaa alipokuwa mpinzani akiwa na misimamo na kumpelekesha JK alikuwa anaitwa mwanaharakati, ila sasa hivi kaacha kuupinga serikali ndio amekuwa mwanasiasa! Kichekesho hiki kiko Tanzania tu. Maelezo haya ndio yalimdanganya Magufuli na wanaccm kuwa wameiua cdm. Ila kinachoonekana hivi sasa ni ni tofauti na ule utafiti wa kihuni.
Amelegea kwani anafikiri magufuli sio riziki kama alivyo yeye? Ashike adabu yake tunajua robot anaongozwa kwa remote. Sasa wanatafuta visa ili kuleta vurugu.Babu yako AMESHALEGEA
Relax Chief Gellangi, kisha andika taratibu ili ueleweke.Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Acha kulegeaKwa aibu ya kushindwa atakayopata
Visa vipi? Mbona Magufuli aliingilia mkotano wa chadema kigoma hukusema CCM waache visa?Amelegea kwani anafikiri magufuli sio riziki kama alivyo yeye? Ashike adabu yake tunajua robot anaongozwa kwa remote. Sasa wanatafuta visa ili kuleta vurugu.
Akabembelezwe !!!!!!Huyu Lisu lazima oktoba arudi kwa beberu wake Amsterdam akiwa analia
Inakazwa haswaaaa.....magu kabana mbavu kotekote upinzani wanajifariji tu mitandaoni kiuhalisia wametepeta na wanajua.Lissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma...
Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake...
Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
... kama sio Katiba Mpya kuna siku iliyopo itarekebishwa mtu ataenda jela. Hamtaamini uchafu utakaofichuliwa. Tuombe uzima.Mayanga Construction
Mpwa mlipaji Mkuu
Kufilisi mifuko ya jamii
Fao la kujitoa...hapa sekta binafsi ndio wengi, Jiwe hapatti Kura...Labda amejiandaa kuiba. NSSF hawalipi kabisa mafao
Sera hii ilikataliwa hata kwenye bunge la katiba, mnapoteza muda na akili.kifupi mmechemka kwa kushindwa kufanya home work sawasawaMh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Amelegea kwani anafikiri magufuli sio riziki kama alivyo yeye? Ashike adabu yake tunajua robot anaongozwa kwa remote. Sasa wanatafuta visa ili kuleta vurugu.
Nguvu ya umma ndiyo inayokwenda kuchinjia baharini 28/10Hamjui nguvu ya umma nyie wavunja aman!
endeleen kupanga vitisho baad ya kufilisik hoja na kisiasa.
Sera hii ilikataliwa hata kwenye bunge la katiba, mnapoteza muda na akili.kifupi mmechemka kwa kushindwa kufanya home work sawasawa
Rushwa ya uchaguzi hiyo, ingekuwa tume huru ccm ingezuiliwa kufanya campaignLisu bado sana! Magu ame relax kabisa tena anaendelea kutoa oda za ki Rais!
Lisu haingii hata mara moja kwa mchakamchaka wa 2015.
Mbowe muda huu anawacheka sana mnavyompa kichwa Lisu.
Lisu amekata tamaa ameacha siasa amekuwa mwanahatakati mpya
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Leo yupo chamwino juu ya jiwe kapumzika tuliiii Hali teteKiukweli Lissu sio wa mchezo kabisa.
Mchakamchaka anaoupeleka, naona Magufuli pumzi imeanza kukata.