Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Mnaye Mgombea ambaye kwa akili zenu mnahisi anafanya vizuri majukwaani, Kwanini mnahangaika na Mgombea asiye wa Kwenu? Kwanini mna wasiwasi, Asifanye jambo lolote tayari mmo, why?
 
Mayanga Construction

Mpwa mlipaji Mkuu

Kufilisi mifuko ya jamii


Fao la kujitoa...hapa sekta binafsi ndio wengi, Jiwe hapatti Kura...Labda amejiandaa kuiba. NSSF hawalipi kabisa mafao
kuhusu mifuko yahifadhi ya jamii hapa chi imegota hanna kinacho endelea ni urushi tu
 
Screenshot_20200922-172315.png
 
Sauti isiyokuwa na matumaini nasikia toka mdomoni mwa lissu,he is fighting for his last breathe.

Mbowe kamuuzia mbuzi ndani ya gunia huyu Lissu

Sorry for CHADEMA followers.
Ndoto za uvunguni hizo acheni kuwaza kwa Akili za kuazima tokea kwa cyprian Musiba
 
Sauti isiyokuwa na matumaini nasikia toka mdomoni mwa lissu,he is fighting for his last breathe. Sorry for CHADEMA followers.
Hiki king'eng'e kwa hakika kinawaumbua, heri kujikita katika Kiswahili ingawa na Kiswahili nacho mmh. Si ajabu na wewe digba sowey ukawa na PhD!
 
Magufuli hakuwahi kusema kuwa kitambulisho cha machinga ni lazima, hali alisema mtu mwenye kitambulisho cha machinga asisumbuliwe na afanye biashara popote katika jamhuri ya muungano wa tanzanoa. Kamwe hajalazimisha mtu kuwa nacho. Na kama hauna basi lipa kodi kwa utaratibu wa kawaida
 
Hiki king'eng'e kwa hakika kinawaumbua, heri kujikita katika Kiswahili ingawa na Kiswahili nacho mmh. Si ajabu na wewe digba sowey ukawa na PhD!
Kwa mtu msomi na muelewa huwa anakosoa na kutoa suruhu /masahihisho ni wapi mtu kakosea,tofauti na hapo na wewe ni wale wale,ungenionesha nilipokosea ningekuona wa maaana sana,

Sasa inaishia kunikejeli,
 
Kwa mtu msomi na muelewa huwa anakosoa na kutoa suruhu /masahihisho ni wapi mtu kakosea
Sawa ingawa unazidi tu kuharibu hata KIswahili lugha yetu ya taifa. Je uko tayari kuchukua tuition? Tuanze na lugha ipi kwani zote mbili zinatumika rasmi hapa nchini...English au Kiswahili?
 
Lissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma.

Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake.

Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
Kalale usingizi huna unachojua wewe
IMG_20200907_220100.jpeg
 
Tundu Lissu relax.niko na magufuli hapa anafuatilia habari zako ili apate hoja za kukujibu keshoo.
 
Back
Top Bottom