Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Nadhani itakuwa vizuri kabla ya tuition ya lugha tuanze na tuition ya punctuation ili ujue wapi ni pa kuweka kituo na wapi pa kuweka coma. Je uko tayari?
.
FB_IMG_1600796320812.jpg
 
Hahhjaaa
Hahahhahaa...nakumbuka paka akimuua panya Basi atamchezeeaaaa .atamrusha rusha weee. Ndo Lisu anavyofanya kwa Joseph..dah .Raha mnooooo🤸🤸🤸👍👍👍!limegelea km pungah
 
Lissu anazidi kupotea njia.
Sema uzuri Lisu hapotei mwenye, kwenye hili la vitambulisho vya wamachinga, hata Baba lao mwenyewe kapotezwa! Ni mwendo wa badala ya maji, ma!! Wewe mwenyewe unatembea mwenyewe machakani, sijui unatafuna mizizi gani!
 
Kuna ‘Makodi’ mengi sana nchi hii na hasa upande wa wajasiriamali wadogo wenye biashara za uchuuzi na kampuni ndogo ndogo mpaka za kati, watu wanapewa ‘penalty’ za ajabu ajabu na ukiangalia ni sheria ambazo kwanza mfanya biashara haambiwi mapema na kwa u wazi na mamlaka husika

Lkn ukienda kwenye makadirio ndo unaweza kufa kwa ugonjwa wa moyo utakacho kutana nacho TRA, hatukatai kulipa kodi lkn ziwe reasonable na pia elimu iwe wazi kwa mlaji/ Clients/ Customers wa TRA inakuwa kama wanataka usijue ili ukosee baadae either wakukamue watendaji ama wakishindwa huko uilipe serikali kwa wanavyotaka wao kwa makadirio yao dah

Wapinzani walisemee na hili pia ukiachia hivyo vitambulisho vya wamachinga yaani serikali na watendaji wake isiwe kama ina komoa raia wake
 
Back
Top Bottom