Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Lissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma.

Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake.

Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
Mkuu kuna jambo lenu huku, jiwe kalegea
 
Sasa kama unajua CCM inatumia polisi mbona jamaa yenu lissu anahangaika sana,wakati probability ya kuupata urais ni 0%?

Si angeendelea tu kukaa kwa mabwana zake huko ubeligiji?
Wewe kaa na mabwana zako waliokutuma wambie mwisho wa ubaya ni Aibu ya Malawi Zambia kenya congo Ghana Gambia yanaenda kutokea Tanzania, hakuna mabaya yasiyo na mwisho, walikuwepo akina Bokasa, Abacha, chiluba, mabutu, Elbashiri, Gadafi, Sadam Hussein, Iddy Amin Dada leo hii wapo wapi?
 
Nchi ina miaka 59 haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China America German India UK nk, na ingekuwa na kura ya veto lakini CCM hawataki maendeleo wanachukua pesa za viwanda pesa za walipa kodi kuzitumia kudidimiza demokrasia kuua upinzani kuwabambikia kesi unyanyasaji uonevu mwingi na mengi yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Awamu ya tano ni Serikali ya penda kesi kesi kila mda wametumia mda mwingi kutengeneza kesi kesi kwa wapinzani badala ya maendeleo
 
Mbona kichwa cha habari kimebadilishwa. Kuna jamaa anasemekana amelegeaaaaa!
 
Back
Top Bottom