Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Huwa ninachekaga sana hilo neno mwanaharakati. Unaweza kunipa tofauti ya uanasiasa na unaharakati? Au uanasiasa ni kuwa kondoo kama Lowassa? Nakumbuka hata Slaa alipokuwa mpinzani akiwa na misimamo na kumpelekesha JK alikuwa anaitwa mwanaharakati, ila sasa hivi kaacha kuupinga serikali ndio amekuwa mwanasiasa! Kichekesho hiki kiko Tanzania tu. Maelezo haya ndio yalimdanganya Magufuli na wanaccm kuwa wameiua cdm. Ila kinachoonekana hivi sasa ni ni tofauti na ule utafiti wa kihuni.
Hahaha hawanaelewi. Ngoja Lissu aendelee kuchomoa.betri
 
Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Relax Chief Gellangi, kisha andika taratibu ili ueleweke.
 
Amelegea kwani anafikiri magufuli sio riziki kama alivyo yeye? Ashike adabu yake tunajua robot anaongozwa kwa remote. Sasa wanatafuta visa ili kuleta vurugu.
Visa vipi? Mbona Magufuli aliingilia mkotano wa chadema kigoma hukusema CCM waache visa?
 
Lissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma...
Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake...
Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
Inakazwa haswaaaa.....magu kabana mbavu kotekote upinzani wanajifariji tu mitandaoni kiuhalisia wametepeta na wanajua.
 
Mayanga Construction

Mpwa mlipaji Mkuu

Kufilisi mifuko ya jamii

Fao la kujitoa...hapa sekta binafsi ndio wengi, Jiwe hapatti Kura...Labda amejiandaa kuiba. NSSF hawalipi kabisa mafao
... kama sio Katiba Mpya kuna siku iliyopo itarekebishwa mtu ataenda jela. Hamtaamini uchafu utakaofichuliwa. Tuombe uzima.
 
Mh.amerejea Dodoma kwa ajili ya Herbination Process&Regrouping,hali ni tete huko field.Lissu anatakiwa ajibu shambulizi na upotoshaji unaoendelea kuhusu Sera ya Majimbo iliyohubiriwa na CHADEMA persistently since it's foundation,why worrying now?Decentralization(Ugatuzi wa Madaraka) ni kitu kigeni?
Sera hii ilikataliwa hata kwenye bunge la katiba, mnapoteza muda na akili.kifupi mmechemka kwa kushindwa kufanya home work sawasawa
 
Amelegea kwani anafikiri magufuli sio riziki kama alivyo yeye? Ashike adabu yake tunajua robot anaongozwa kwa remote. Sasa wanatafuta visa ili kuleta vurugu.

Na hao wananchi wanaotokea kwenye mikutano yake nani kashika remote? Hamna mtu ana shida ya fujo, ila mshindi halali ndio atangazwe. Ile kunyanyasa wapinzani kisha kusema kuwa upinzani umekufa, sasa basi rasmi.
 
Sera hii ilikataliwa hata kwenye bunge la katiba, mnapoteza muda na akili.kifupi mmechemka kwa kushindwa kufanya home work sawasawa

Maoni ya wananchi yalikuwa wazi, ila hilo bunge la wahuni wa ccm wakachezea maoni ya wananchi. Ni nadra sana kwenye nchi za kiafrika maoni ya wananchi kuheshimiwa hadi kutokee machafuko. Ila huko tutafika tu.
 
Lisu bado sana! Magu ame relax kabisa tena anaendelea kutoa oda za ki Rais!

Lisu haingii hata mara moja kwa mchakamchaka wa 2015.

Mbowe muda huu anawacheka sana mnavyompa kichwa Lisu.
Rushwa ya uchaguzi hiyo, ingekuwa tume huru ccm ingezuiliwa kufanya campaign
 
Sauti isiyokuwa na matumaini nasikia toka mdomoni mwa lissu,he is fighting for his last breathe.

Mbowe kamuuzia mbuzi ndani ya gunia huyu Lissu

Sorry for CHADEMA followers.
 
Back
Top Bottom