Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Dkt. Magufuli amekubaliana na hoja yangu, sasa afute vitambulisho vya wajasiriamali

Lissu haamini.. hata polisi hawampi kiki! Alitegemea achokoze apigwe virungu aombe huruma kwa uma.

Kaishiwa hoja sasa anaropoka tu! Kibaya kingine hata magu kaamua kutompa airtime hata kwa kutaja jina lake.

Pia ajue kampeni zikiisha siasa za hovyo tunafunga na kurudi site kujenga nchi hivyo atumie huu muda, muda ukiisha nati inakazwa...
 
Na amelegea kweli kweli, leo amekata miuno sana jukwaani amelegea kweli kweli.

#NIYEYE Lissu kiboko ya Magufuli ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
 
Na amelegea kweli kweli, leo amekata miuno sana jukwaani amelegea kweli kweli.

#NIYEYE Lissu kiboko ya Magufuli ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽
Kikwete alikuwa sahihi kabisa kwamba kwenye Hoja Lissu humuwezi...!!

Hi ndiyo raha ya kuzaliwa bright!! Huwa ni zawadi ama karama toka kwa Muumba!!

Hongera sana mtetezi wa wanyonge..Tundu Antipas Lissu.
 
Kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko South Africa China korea America India German na wingineo tajiri, kutokana na kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani kote, mda huu Tanzania ingekuwa na kura ya veto ingekuwa kwenye G5 , lakini CCM wanachukua pesa zote kuzitumia kudidimiza demokrasia, kuwabambikia kesi wapinzani unyanyasaji mwingi pesa nyingi inapotelea kwenye mambo yasiyo na tija kwa Taifa.
 
Lisu amekata tamaa ameacha siasa amekuwa mwanahatakati mpya

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Huwa ninachekaga sana hilo neno mwanaharakati. Unaweza kunipa tofauti ya uanasiasa na unaharakati? Au uanasiasa ni kuwa kondoo kama Lowassa? Nakumbuka hata Slaa alipokuwa mpinzani akiwa na misimamo na kumpelekesha JK alikuwa anaitwa mwanaharakati, ila sasa hivi kaacha kuupinga serikali ndio amekuwa mwanasiasa! Kichekesho hiki kiko Tanzania tu. Maelezo haya ndio yalimdanganya Magufuli na wanaccm kuwa wameiua cdm. Ila kinachoonekana hivi sasa ni ni tofauti na ule utafiti wa kihuni.
 
Back
Top Bottom