Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Huyu mtu namuona kama hayawani vile,yaani anajidai kushughulika na mambo makubwa lakini ya kipuuzi ili aendelee kukaa midomoni mwa wafuasi wake.

Poor lissu
 
Naona ndio mnampa pole leo kiaina kwasababu ya zile risasi.

Kusema Lissu anaishi maisha ya shida lazima muonekane vichaa kwenye hii jamii yetu iliyostaarabika, mtu msomi wa aina yake hizo shida azipate wapi?!

Hata hawajui kuwa, jamaa ndiyo huyo anaenda kuwa UN - General Secretary wao.

Yale yale ya yule mama wa NIMR (Malecela), unaharibu utu wa mtu mwisho wa siku, Mungu muumba anamwinua na kumrejeshea heshima ya utu wake.
 
Naona ndio mnampa pole leo kiaina kwasababu ya zile risasi.

Kusema Lissu anaishi maisha ya shida lazima muonekane vichaa kwenye hii jamii yetu iliyostaarabika, mtu msomi wa aina yake hizo shida azipate wapi?!
Tangu lini kuishi ukimbizini ikawa raha? Acheni kujifariji..jamaa ana maisha ya shida kuliko nyie wafuasi wake. Ila subirini naamini atawakomboa
 
  • Thanks
Reactions: nao
Bora ametolea ufafanuzi lumumba waache kujiliwaza...
Mkuu hivi hapa anaejiliwaza na yupi? Bavicha au lumumba?

Ni kwa vile tu chadema ina wafuasi wajinga wajinga lakini kama wangekuwa na akili wangeachana na na huu ujinga wa kesi ya icc badala yake wangejikita kutafuta katiba mpya itakayounda tume huru ya uchaguzi basi!
 
Wewe ndio mjinga mjinga kama huyo mjinga mwenzio aliekwambia Lissu kwenda ICC ndio mapambano ya kutafuta katiba mpya yatasimama.

Na kitendo cha wewe kuamini Lissu kwenda ICC ni ujinga unaonesha ulivyo na uwezo mdogo sana wa kufikiri.
 
Wewe ndio mjinga mjinga kama huyo mjinga mwenzio aliekwambia Lissu kwenda ICC ndio mapambano ya kutafuta katiba mpya yatasimama.
Basi endeleeni mkuu nyie ni werevu sana, mie ni mjinga mjinga!

Tukutane 2025
 
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020.

Msikilizie kwa undani
ICC ilikuwa zuga tu hata Lowassa naye alisema atapeleka kesi ICJ.
 
Back
Top Bottom