Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Hata hawajui kuwa, jamaa ndiyo huyo anaenda kuwa UN - General Secretary wao.

Yale yale ya yule mama wa NIMR (Malecela), unaharibu utu wa mtu mwisho wa siku, Mungu muumba anamwinua na kumrejeshea heshima ya utu wake.
Alishamaliza kulihutubia security council. Jamaa anawafanya kmaa wehu vile. Zamani sikulioenda neno nyumbu kulitumia sasa naamini linawafaa
 
Hebu tuambie hiyo specific point.
Mtoa mada anasema kwamba, Tundu Lissu anaongelea mambo basic na self explanatory ambayo mtu yeyote anayesoma ICC charter ataelewa tu.

Nikamuuliza, Watanzania wangapi wamesoma hiyo ICC charter?

Anajiumauma kujibu.

Mjadala wangu na yeye umejikita hapo, huko kwingine kote unaweza kuona kama ni mtu uliyedandia mjadala bila kuelewa specific point ninayohoji ni ipi.
 
Yaani sasa hivi ndiyo wamelijua hilo kwamba hawana haki ya kufungua kesi ye yote ICC. Halafu wanajidai wana wanasheria mahili wakati ni vilaza wa sheria - wanajifunza kwa google ambayo kila mtu anaweza kugoogle!

ICC ni mahakama ya UN Security Council ambayo rafiki yetu China na Urusi wana kura ya turufu. Ni kwa ajili ya nchi huru moja kuishitaki nchi nyingine huru kupitia UN Security Council. It is between sovereign states. Haiko kwa ajili ya wanaharakati hao uchwara ambao dunia inawafahamu na inawashangaa.

..Hoja ya Tundu Lissu imelalia ktk kifungu hiki hapa chini.

Finally, the Prosecutor may open an investigation on her own initiative after the authorisation of the judges; this was the case for Kenya, Côte d'Ivoire, Georgia and Bangladesh/Myanmar. The Prosecutor cannot, on her own motion, initiate investigations with respect to States not Party to the Rome Statute unless the matter involves nationals of States Parties allegedly involved in committing Rome Statute crimes on the territory of the non-State Party in question.

..Suala la "uhalali" wa Chadema kupeleka malalamiko ICC linaelezewa hapa chini.

Any individual, group or State can send information to the OTP[ Office of the Prosecutor ] regarding alleged crimes falling under the jurisdiction of the Court. To date, the OTP has received more that 12,000 of such communications, which can form the initial basis of the Office's preliminary examinations.

The OTP conducts a preliminary examination to decide whether there is a reasonable basis to initiate an investigation.


cc tindo, Mmawia, Erythrocyte
 
Mtoa mada anasema kwamba, Tundu Lissu anaongelea mambo basic na self explanatory ambayo mtu yeyote anayesoma ICC charter ataelewa tu.

Nikamuuliza, Watanzania wangapi wamesoma hiyo ICC charter?

Anajiumauma kujibu.

Mjadala wangu na yeye umejikita hapo, huko kwingine kote unaweza kuona kama ni mtu uliyedandia mjadala bila kuelewa specific point ninayohoji ni ipi.
Ok imekuwa clear kwangu.
 
Back
Top Bottom