Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

Yani tundu Lissu wema aliowafanyia watanzania na tunayomlipa ni tofauti yani Kama yesu wayahudi na baraba

Imagine alivyowapigania watanzania kutambua ukweli dhidi ya wizi uliofanywa na dola na namna alivyopinga Tanzania kuongozwa kidikteta lakini Leo hii Kuna watu wanamsemea mabaya daaah walimwengu aisee ajabu Sana hua siamini Mambo ninayoyaona ambayo yako against Lissu mpaka huwa najiuli aliwakosea nini yeye binafsi?
Lissu anavuna alichopanda
 
Sijui kama werevu na wapumbavu huwa wanakutana njia moja, ngoja tuone kama itatokea.
Hiyo ya kuita watu wapumbavu haitakusaidia.

Mkiendelea na huu ujinga wenu wa ku deal na ishu za kijinga namna hii, 2025 mtakimbilia si tu kwa Masterdam bali kwa watoto wa Asmterdam kabisa
 
Hivi kapuku kama wewe ndio wa kumuonea huruma Lissu , kwa hiyo elfu 7 unayolipwa kwa wiki ?
Naona mnaishi kwa matumaini kwamba ipo siku jewi ataenda ICC kifupi hilo kamwe halitatokea. Bora nguvu za kulifikiria ukazielekeza kutafuta rejesho la vikoba.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kikwete naye iliishiaje au ndio zile chai cha za Ikulu zilifanya asipelekwe huko ICC?
 
mjue kutofautisha mashitaka na malalamiko ya wapinzani waliofulia.
Mnapeleka malalamiko ya jumla jumla tu hakuna atakaewasikiliza
Uchaguzi umekwisha
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyu mtu namuona kama hayawani vile,yaani anajidai kushughulika na mambo makubwa lakini ya kipuuzi ili aendelee kukaa midomoni mwa wafuasi wake.

Poor lissu
Ulimweka midomoni mwa watu zaidi Kwa kumpiga risasi. Poor wapiga risasi
 
23319517-55ae-4cef-b609-8c6fdee17ed2.jpg

dea0b107-3c03-44de-90ca-4febf8bcd204.jpg

87efd259-23f8-45c3-9518-7bcdeb3c8b0b.jpg

a1c930a3-9594-4e58-95e7-aaa027efe8a3.jpg

468574ea-6f20-4fc9-a765-c18db622e1e3.jpg
 
Back
Top Bottom