Haya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
Habari ndio hiyo mkuu , ikiwa Zuchu ana wafuasi mil 1 unashangaa Maria Sarungi ?Milioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Milioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Elfu 6 ahahahahaMilioni 6!!? Kuwa siriazi kwanza kaka
Sawa naona umebadilishaHabari ndio hiyo mkuu , ikiwa Zuchu ana wafuasi mil 1 unashangaa Maria Sarungi ?
Yeye alijua mwenda zake hajui anachokifanya sasa Hadi nikahsi ana ajenda na mbowe sasa wameshaanza kutest zariHaya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
Unataka naye aitwe mwendazake?Ni kweli watamzingua. Arudishe tu muziki wa JPM bila aibu
Hahaha...hiko kikahaba ukikichalenji kinakubloku wafuasi M 1 kitawatoa wapi? kama CHADEMA yenyewe haina wafuasi hao Maria kawatoa wapi?Habari ndio hiyo mkuu , ikiwa Zuchu ana wafuasi mil 1 unashangaa Maria Sarungi ?
Haya ndo madhara ya mama kucheka na nyani,na bado mama asipokaza watamzingua mpaka atachutama.
Kwamba asipoqagusa hatokaa awe mwendazake? Hoja za kijinga kabisa.Unataka naye aitwe mwendazake?
Kama ulivyoKwamba asipoqagusa hatokaa awe mwendazake? Hoja za kijinga kabisa.
Yaani Rais atoke Ikulu akakamate wezi wa mafuta? Nini kazi ya wasaidizi wake aliowateua kuanzia DC, RC, OCD, RPC, IGP, TAKUKURU? Au bado mnataka ule utawala wa oneman show? Kila kitu hata ikiwa kujenga choo cha primary school hadi Rais aendeMadai ya katiba mpya sio suala la mama kucheka na watu. Mama alitakiwa akamate waliojiunganishia bomba la mafuta ili kuonyesha uwezo wake maana hao ni wahalifu, sio kupambana na watu wanaodai katiba mpya kwa amani.
Alipotembelea soko la Kariakoo na kutengua uongozi wake hakutokea ikulu, hakuwa rais au siku hiyo alikuwa DC wa Ilala?Yaani Rais atoke Ikulu akakamate wezi wa mafuta? Nini kazi ya wasaidizi wake aliowateua kuanzia DC, RC, OCD, RPC, IGP, TAKUKURU? Au bado mnataka ule utawala wa oneman show? Kila kitu hata ikiwa kujenga choo cha primary school hadi Rais aende
Sijawahi kuona msukule wa makengeza mbowe akiwa na akili.Alipotembelea soko la Kariakoo na kutengua uongozi wake hakutokea ikulu, hakuwa rais au siku hiyo alikuwa DC wa Ilala?