Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Kabla ya end of March , atalipwa gharama zake zote za matibabu
 
Tumewaita wadhamini wake ili tujiridhishe na afya yake ili kesi ya uchochezi inayomkabili tuanze kuisikiliza maana tunaona anazunguka kumbe kapona sasa anahitajika kuja kujibu mashitaka yanayomkabili!! Lol!
 
Kumekuchaa!!! HOMA YA MAFISADI, WEZI NA WAUAJI imetua Marekani. Tukae mkao wa kula. Tayari watu wameshaanza kuropoka - OOH anyang'anywe uraia, OOh awekwe kizuizini, oohhh, avuliwe ubunge. Hivi wanadhani huyu ni Abdul Nondo? ambaye unaweza kumnyanyasa humu nchini. Hii ni habari nyingine kabisa. Sasa hivi kila ovu watakalolisuka dhidi ya Lissu ndio kwanza wanaongeza CV yake na kuharakisha akabidhiwe nishani ya NOBEL. Tundu Lissu alishapaa na kuondoka ngazi ya nchi sasa anapasua mawingu ya kimataifa. KALAGA BAHO

Yaani CCM wote ni majuha badala ya kuitisha kikao wamlaani Daud Arbaty Bashite aliyewasababishia yote hayo wapo busy kuwatumia vilaza wao kuandika upumbavu zaidi.
 
Dunia kweli mzunguko. Nyerere alienda kudai Uhuru UN lisu anaenda kudai Uhuru vyuoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu na wakati wake. Nyerere alikwenda UN kwa sababu tulikuwa PROTECTORATE chini ya UN. Lissu anakwenda Chuo Kikuu kwa sababu wamarekani hoja hujengwa kwenye sehemu kama hizo na kuenea taratibu mpaka kufikia ngazi ya ma-Lobbyst. kinachotakiwa ni kuwahabarisha wamarekani ambao watasukuma vyombo vya maamuzi vifanye kazi yake. hata hivyo sifa ya Tundu Lissu inatangulia mbele yake. Mpambanaji, mtetezi wa kweli wa wanyonge, aliyetetea wachimbaji wadogo waliobambikizwa kesi na Polisi wa CCM, bila kuwatoza malipo. Hilo limethibitishwa bungeni na Hussen Bashe aliyemshukuru kwa kuwatetea wapiga kura wake. Imajini!!!! CCM hamna shukrani wallahi!!! Bashe kawaumbua.
Lissu, aliyeshambuliwa mchana kweupe, risasi 16 zimeingia mwilini, 15 zimetolewa na moja imebaki ya ushahidi maana mnawezakuja kuzusha kwamba hakushambuliwa. operesheni 22, na bado anawanyima usingizi. BRAVO TUNDU!!!!!
 
Ulitaka akutaje wewe halafu?
Yeye kaulizwa Kwenye Mahojiano Nani alimdhuru kashindwa kutaja kwa ushahidi Mwenzangu Na Mie unakurupuka kutaja taja majina ya watu pasi Na ushahidi
 
Tumewaita wadhamini wake ili tujiridhishe na afya yake ili kesi ya uchochezi inayomkabili tuanze kuisikiliza maana tunaona anazunguka kumbe kapona sasa anahitajika kuja kujibu mashitaka yanayomkabili!! Lol!
Tena itakuwa vizuri sana hizo kesi zikianza kuunguruma wakati huu, ili apate ushahidi kwamba kweli hii ni serikali ya wauwaji. chutameni, taulo imeanguka watu mko uuuuchiiii
 
Tumewaita wadhamini wake ili tujiridhishe na afya yake ili kesi ya uchochezi inayomkabili tuanze kuisikiliza maana tunaona anazunguka kumbe kapona sasa anahitajika kuja kujibu mashitaka yanayomkabili!! Lol!

Hizo mbinu za kishamba kishetani zitafeli sana, kwanza kesi zenyewe ni za kubambikiwa ni kesi za magumashi kesi za Uonevu unyanyasaji wa kisiasa Dua zenu za kijinga jinga zitakwama kama mlivyokwama kumuua kwa Risasi.
 
Mavi tu hayo, na bado mtajiharishia tu mpaka kieleweke!!
Kila kitu na wakati wake. Nyerere alikwenda UN kwa sababu tulikuwa PROTECTORATE chini ya UN. Lissu anakwenda Chuo Kikuu kwa sababu wamarekani hoja hujengwa kwenye sehemu kama hizo na kuenea taratibu mpaka kufikia ngazi ya ma-Lobbyst. kinachotakiwa ni kuwahabarisha wamarekani ambao watasukuma vyombo vya maamuzi vifanye kazi yake. hata hivyo sifa ya Tundu Lissu inatangulia mbele yake. Mpambanaji, mtetezi wa kweli wa wanyonge, aliyetetea wachimbaji wadogo waliobambikizwa kesi na Polisi wa CCM, bila kuwatoza malipo. Hilo limethibitishwa bungeni na Hussen Bashe aliyemshukuru kwa kuwatetea wapiga kura wake. Imajini!!!! CCM hamna shukrani wallahi!!! Bashe kawaumbua.
Lissu, aliyeshambuliwa mchana kweupe, risasi 16 zimeingia mwilini, 15 zimetolewa na moja imebaki ya ushahidi maana mnawezakuja kuzusha kwamba hakushambuliwa. operesheni 22, na bado anawanyima usingizi. BRAVO TUNDU!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo mbinu za kishamba kishetani zitafeli sana, kwanza kesi zenyewe ni za kubambikiwa ni kesi za magumashi kesi za Uonevu unyanyasaji wa kisiasa Dua zenu za kijinga jinga zitakwama kama mlivyokwama kumuua kwa Risasi.
Sheria na katiba ya nchi lazima vitekelezwe na wasimamia sheria hivyo there is no point being talkative!
 
Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019.

Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo haya ni *“Tanzania’s Democratic Challenge.”*

Jenniffer Cooke, The Instute for African Studies (IAfS) Director, ataongoza mazungumzo haya na mgeni mualikwa Ndugu Tundu Lissu.

Tutaendelea kuwajulisha ratiba yake kila siku hadi mwisho wa ziara yake.
View attachment 1013815
View attachment 1013814
View attachment 1013813
Waliyokuwa wanaulizia magongo hayo hapo yanaonekana!
 
Tanzania ni kubwa sana. Na wapo wengi ambao ni watanzania na wasio watanzania ambao wako tayari kulinda ukubwa huo kwa namna yoyote (rejea matamko ya baadhi viongozi marafiki wa Tanzania na minong'ono kwenye viunga vya nchi yetu na kwingineko ng'ambo). Ukubwa huo haukupatikana kwa bahati tu, ulijengwa katika misingi ya kuheshimiana. Ukubwa huo upo katika sura ya 'sovereignty' na 'dignity' ya utanzania na Uafrika. Nina imani Lissu atatumia nafasi hii adhimu aliyopata kuulinda Ukubwa wa Tanzania. Ukubwa wa Tanzania hauchezewi.
 
Aache umbeya kwa watu ulishawahi ona mzungu au mmarekani anazunguka nchi za kiafrika kuongelea matatizo ya nchini kwake kutafuta huruma za waafrika? Mswahili kuzurura kwa wazungu na wamarekani kuongelea matatizo ya nchini kwake ni umbeya.Ndio maana mitaani ukipita Wala watu hawana habari za Lisu Wala mbowe aliye rumande watu wanaendelea na shughuli zao za maisha hawajali Cha Lisu yuko wapi Wala mbowe yuko wapi.Siasa ziko huku mitandaoni tu
kama ziko mitandaoni tu kwa nini viongozi wanahangaika kutoa matamko kumuomba arudi?
hayo matamko mbona hatukuyaona wakati anaposhambuliwa wala kutibiwa?
 
Back
Top Bottom