Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

Ha ha! Hivi watz mbona mnahangaika na matukio madogo namna hii.? Huyu ni mwana siasa na kama atakipata cheo cha urais kama akigombea basi kunadalili kubwa ya kulipiza visasi na si kazi ya cheo kile hicho ndicho nnacho kiona maana hata huyo jiwe kawabadilikia watu hewani imebaki kulalama sidhani kama kuzunguka kwake kuleta tija tu na hasara mkumbuke pia! Hapa sio ushabiki tuuweke pembeni muda mwengine tupembue mambo.. ugomvi wa watu kadhaa msije kuukuza kwa taifa zima tupime viongozi na sio kushabikia tu.. moja kati ya kitu ambacho ili utoe maamuzi sahihi ni kuwa na taarifa sahihi.
Kuongoza si jambo lakitoto kumbuka Kuna msemaji na mtendaji hivi ni vitu viwili tofauti nasubiri lisu amshtaki aliemfanya hivyo ili nione weledi wake na ukweli wa ayasemayo.
Alasivyo kaa ukijua upo kwenye ombwe kubwa la giza ukifurahia kesi za malipizi.
 
Sipingi mkuu wa kaya kukosolewa Wala sipingi lisu anavyojaribu kuonyesha madudu ya serikali hususani kwenye Uhuru wa kufanya siasa kwa Vyama vingne.
Ishu hapa NI vijana kuwa na expectations kubwa kuliko uhalisia.
Wanasubr mpk mtu Kama lisu ainuke na wao waanze kupiga kelele.

To me mapinduzi/mabadiliko ya kisiasa hayaletwi na mtu moja Wala kupiga kelele huku umeficha identity. Kama kweli tunamsapoti lisu kwa kuona anachofanya ni sahihi basi na sisi tuingie mtaani, twendeni ikulu, tusikimbie risasi Wala kuogopa chochote.
Tofauti na hapo huku ni kuwehuka tuu bora kulima matikiki kuliko kupiga kelele kwa keyboard.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo yako ni mema lakini kumbuka hii ni Africa democracy yao hairuhusu uhuru wa kujieleza. Bali kumtukuza kiongozi aliyepo.

1. Vijana wameshaonyesha mara kadhaa kuwa wanamuunga mkono, lakini mara zote kama si igp basi ni com wa kanda maalum hutumia amri za kipolisi kuwatawanya, kuwapiga na kuwabambika kesi. Aliponusurika kifo ilikuwa marufuku hata kuchangia damu !! Hata kufanya maombi, hata kuvaa T shirt !!

Mfumo wetu wa utawala na uongozi bado na kwa kiasi kikubwa una elements za kikoloni. Na mwananchi hana nguvu ktk serikali anayoiweka madarakani .
Mkuu ni kiongozi mzuri kidogo tatizo lake ni kutotaka kusikia mawazo mbadala .


Sent using Jamii Forums mobile app
 
vip si yule anayejiita mtetezi wa Magufuri Msiba si alisema mke wa Lisu amekuja Tanzania kimya kimya mbona yupo na lisu?


Yes mke wa Lisu alikuwa Tanzania kuna kuona vijana wao. na hata hilo Lissu mbona alilisema akitoa salama za Christimass na mwaka mpya kwamba hatakuwepo na ile antena kama tunavyoiita hata nyumbani.

Kosa wanalolifanya pia ni kumshikilia Mbowe hakika ni kosa kubwa sana
 
Kama hana hoja kwa nini mnasema asizungumze arudi nyumbani?
Aache umbeya kwa watu ulishawahi ona mzungu au mmarekani anazunguka nchi za kiafrika kuongelea matatizo ya nchini kwake kutafuta huruma za waafrika? Mswahili kuzurura kwa wazungu na wamarekani kuongelea matatizo ya nchini kwake ni umbeya.Ndio maana mitaani ukipita Wala watu hawana habari za Lisu Wala mbowe aliye rumande watu wanaendelea na shughuli zao za maisha hawajali Cha Lisu yuko wapi Wala mbowe yuko wapi.Siasa ziko huku mitandaoni tu
 
Usisahau kuwa wao sio vilanja wa demokrasia ama amani.... Ila wanaangalia maslahi yao... Wanatumia tuhuma kufuta misaada na kumuinamisha aliyepo madarakani ama kutuchagulia wengine ili wafaidike.


Sent using Jamii Forums mobile app

Kama Daud Arbaty Bashite aliyajua hayo mbona hakuacha kwenda Dodoma kumpiga Risasi? CCM msitafute Mchawi bali kaeni na Bashite mpeni lawama zote kwani kama si yeye kwenda Dodoma kumpiga Risasi leo hii Tundu Lisu asingekuwa huko America na mjadala huu usingekuwepo mitandaoni mda huu.
 
Polepole, Bashiru, Bashite na Jiwe watajaza choo round hii.
 
Lisu mijadala haiwezi ni mmbwekaji tu lazima atachemka tu kwenye huo mjadala sababu anachojua ni kutoa hotuba ni mpenda kusema nisikilize Mimi badala ya kujadili atakuwa akihutubia hotuba yenye mihemko isiyo na pointi akitaka kunganganiza hoja kwa mikelele bila pointi.Lisu kwenye midahalo ni zero.
Tulia Bomba liingie

Sent from my TECNO CX Air using Tapatalk
 
Job Ndugai na genge lake walivyoona kavaa suti wakadhani amepona mwoneni bado anatumia magongo na bado ana bandeg kubwa tuu.

Na huyo wakili aliyeita wadhamini ili wasema hali ya Tindu Lissu shame on you kwani wao ni madaktari wasilianeni na Ubeligig
 
Aache umbeya kwa watu ulishawahi ona mzungu au mmarekani anazunguka nchi za kiafrika kuongelea matatizo ya nchini kwake kutafuta huruma za waafrika? Mswahili kuzurura kwa wazungu na wamarekani kuongelea matatizo ya nchini kwake ni umbeya.Ndio maana mitaani ukipita Wala watu hawana habari za Lisu Wala mbowe aliye rumande watu wanaendelea na shughuli zao za maisha hawajali Cha Lisu yuko wapi Wala mbowe yuko wapi.Siasa ziko hu mitandaoni tu
Kumbe hao watu wa mtaani hawako humu mtandaoni?... hv ccm akili zenu vipi?
 
Namuona Masilingiii balozi akitamani kuzuia ziara ya Lissu, Poleni, mtafunika nyeti zenu kwa mikono. Nguo mshavua wenyewe Lissu anawavua chuppi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ninavyomjua Masilingi nitashangaa sana kama anawaza kuzuia Lissu asiongee au kutoa vi statement vya kujibu aliyoyasema Lissu. He has never striked me as that type.

Masilingi ni kachero wa muda mrefu, mwanasheria, mbunge, waziri mstaafu.... it will be a massive stunner kama na yeye ata act kama balozi Possi, kakijana kale ka Ujerumani
 
Kumekuchaa!!! HOMA YA MAFISADI, WEZI NA WAUAJI imetua Marekani. Tukae mkao wa kula. Tayari watu wameshaanza kuropoka - OOH anyang'anywe uraia, OOh awekwe kizuizini, oohhh, avuliwe ubunge. Hivi wanadhani huyu ni Abdul Nondo? ambaye unaweza kumnyanyasa humu nchini. Hii ni habari nyingine kabisa. Sasa hivi kila ovu watakalolisuka dhidi ya Lissu ndio kwanza wanaongeza CV yake na kuharakisha akabidhiwe nishani ya NOBEL. Tundu Lissu alishapaa na kuondoka ngazi ya nchi sasa anapasua mawingu ya kimataifa. KALAGA BAHO
 
Aache umbeya kwa watu ulishawahi ona mzungu au mmarekani anazunguka nchi za kiafrika kuongelea matatizo ya nchini kwake kutafuta huruma za waafrika? Mswahili kuzurura kwa wazungu na wamarekani kuongelea matatizo ya nchini kwake ni umbeya.Ndio maana mitaani ukipita Wala watu hawana habari za Lisu Wala mbowe aliye rumande watu wanaendelea na shughuli zao za maisha hawajali Cha Lisu yuko wapi Wala mbowe yuko wapi.Siasa ziko hu mitandaoni tu

Ujue wewe ni mbulula mshamba na mjinga kuliko wapumbavu wote wa CCM kwani aliyesababisha Tundu Lisu kuwepo huko leo si ni wewe na Bashite kwenda Dodoma kumpiga Risasi, kwa ufala wako unadhani Tundu Lisu anapiga umbea? Watu hawana Habari na Lisu vipi wakati wewe mbumbumbu upo busy kuandika ujinga wako? Kama unaona ni umbea mbona umekazania kuonyesha uzuzu wako humu mitandaoni? Acha ungese wako tambua kuwa watanzania wana Akili kuliko nyinyi watetezi majuha wa CCM wanajua chanzo cha Tundu Lisu kuwepo huko ni udikteta wenu na kama sio wewe na Bashite kumpiga Risasi asingekuwa huko, peleka ujinga wako kwa washamba wenzako huko gheto kwa cyprian Musiba na le mutuz.
 
Naona kwa Akili zako finyu unajifariji kwa kumbukumbu za nyuma ambazo hazifanani na Tukio la Tundu Lisu ambaye kafanyiwa unyama mkubwa na Bashite na kikundi chake.

Yeye kaulizwa Kwenye Mahojiano Nani alimdhuru kashindwa kutaja kwa ushahidi Mwenzangu Na Mie unakurupuka kutaja taja majina ya watu pasi Na ushahidi
 
Back
Top Bottom