Huyu hapa ni Mama Mzazi wa Alphonce Mawazo, waliomuua mtoto wake walipwe kwa ubaya wao

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,428
Alphonce Mawazo, Kijana aliyeachana na CCM baada ya kuona kwa macho yake kwamba Chama hicho ndio nguzo kuu ya Umasikini na dhiki zote za Nchi, aliamua kujiunga na CHADEMA chama halisi ambacho ni Chaguo la Mungu kuikomboa Tanzania.

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, kutokana na hoja zake za majukwaani kushindwa kujibiwa na wahusika , ikapangwa auawe.

Alphonce Mawazo aweza kuwa binadamu wa kwanza nchni Tanzania kuuawa hadharani kikatili , kwa mashoka mithili ya Mnyama, Mawazo aliuawa mchana na watu wanaofahamika waliotumwa kumuua.

Huyu hapa ni Mama yake Mzazi aliyekutana na Tundu Lissu alipotembelea nyumbani kwake kwa lengo la kumuombea Dua Hayati Mawazo.

Screenshot_2023-08-07-18-11-12-1.jpg
Screenshot_2023-08-07-14-51-06-1.jpg
 
Alphonce Mawazo , Kijana aliyeachana na ccm baada ya kuona kwa macho yake kwamba Chama hicho ndio nguzo kuu ya Umasikini na dhiki zote za Nchi , aliamua kujiunga na Chadema , chama halisi ambacho ni Chaguo la Mungu kuikomboa Tanzania.

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 , kutoka na hoja zake za majukwaani kushindwa kujibiwa na wahusika , ikapangwa auawe.

Alphonce Mawazo aweza kuwa binadamu wa kwanza nchni Tanzania kuuawa hadharani kikatili , kwa mashoka mithili ya Mnyama , Mawazo aliuawa mchana na watu wanaofahamika waliotumwa kumuua.

Huyu hapa ni Mama yake Mzazi aliyekutana na Tundu Lissu alipotembelea nyumbani kwake kwa lengo la kumuombea Dua Hayati Mawazo.

View attachment 2711161View attachment 2711163
Kaburi la mtoto ni zuri kuliko nyumba anayoishi mama! RIP Kamanda Mawazo aliyepambana dhidi ya umaskini!
 
Hizo pesa wanazotumia kuzurura wafanyie jambo angalau la msingi.

Tangu mawazo amefariki na kumwacha mama yake kwenye maisha duni hao CHADEMA bila haya wanapita na kupiga nae picha lakini hamna wanalomsaidia

Kama kweli walimpenda Mawazo wangemjali huyo mama kama mama zao sio kumtumia na kum damp

Huwa najiuliza hawa ndio wanajidai kwamba watakuja kuwasaidia watanzania kweli!?
 
Back
Top Bottom