Nin hatma ya watangazaji kina zungu,Dakota ,orest kawau,,David rwenyagira,na Samson Charles kwenye kipindi Cha Good morning?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,402
15,982
Baada ya tetez kuwa kina kitenge na hando na oscar kuhamia wasafi media na Kweli wamekuja ,Hawa watangaziji niliowataja hapo juu watakwenda wapi Kuna watu nimeanza kuwahurumia hapo kwamba hawana influence ya kuchukuliwa katik media zingine na walifika hapo walipo kimazabe sna siyo watangazaji Wal kusomea taaluma hyo Bali walifika kisela sela tu kwemy mc za wasafi

Maoni

Itabidi meneje wa uzalishaji uongeze Muda wa kipindi Cha good morning kutoka saa 12:00 asbh had saa tatu 9:00 kamili Kisha watu wasport arena waanze kipindi

Siyo vzr kuhitimisha kipind saa 8:30 am kwani hivi sasa mmemleta hando na hando anajuwa vitu vingi sna hata pale wanavyokuja watu wa serekalin au taaasis kuelezeaa jambo fln la ufafanuzi Basi wapewe Muda wa kutosha Kama wanavyofanya cloud fm kwenye pb

Mwisho wale watakao pisha wale wanaojihita magwiji wa utangazaji wape kipindi vingine na siyo kuwafukuza ktk kazi
 
Hatima Yao wanaljua wenyewe hayatuhusu
 
Back
Top Bottom