Dr. Bashiru vs Membe vs Msekwa vs MakambaHahaha bonge la posti. Cccc Mwanahabari Huru BAK na wanafiki wote mitaa ya ufipa inayoungua moto, mitaa ya ufipa ambayo kikamanda chao kipo segerea kikitoa huduma
Hahahaha Daudi Mchambuzi upo? Nilidhani unatoa huduma segerea. Ila mnyukano wenu nouma sana, ufipa hapakaliki kabisa. Ila nyie wachawi sana mmemloga mbow ili akae lupangoDr. Bashiru vs Membe vs Msekwa vs Makamba
akili za fisi maji hizi.Hahahaha Daudi Mchambuzi upo? Nilidhani unatoa huduma segerea. Ila mnyukano wenu nouma sana, ufipa hapakaliki kabisa. Ila nyie wachawi sana mmemloga mbow ili akae lupango
Atakutukana mama yako.wengine watakuja kutukana. subiri tu.
CHADEMA kumzungumzia Membe.....!!!!!Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.
ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.
anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.
membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.
jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
Hivi akitoka Magu si itakuwa zamu ya mwislamu kutawala au kautaratibu haka safari hii tunakakiuka. Ahaa nimekumbukaa niliwahi kusikia Mango alibadili dini ila sijui alijiita nani vile...???Hivi , man u na arsenal walitoka ngapi ngapi vile ??
Chadema wote ni nyumbu tuu. Hawajielewi, wanaenda na matukioJamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.
ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.
anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.
membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.
jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
ExactlyHa ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa.... Huu upuuzi hamsaidii mwenyekiti wenu kupambana na Membe, nape, bashe, jk, january, kinana na mwigulu.
Aliyekwambia nyumbu ana kumbukumbu nani?hivi kuna mtu aliye wagonga chadema kama mwigulu, nape na membe? mbona mnakuwa wasaulifu sana? mnasahau kuwa mzee wa goli la mkono ndo aliyesababisha leo hii watu mnahemea juu juu?
tayari mmeshasahau kazi aliyotenda mwigulu chaguzi zoooooooooote? mpaka mkaanza mchukia? kweli dunia duara.ukifika wakati atawagonga tena.
Mgombea wenu mnamuacha?Hatakiwi kuhama, atapewa support huko huko alipo.