Tetesi: Tundu Lissu Asikitishwa na yanayoendelea Chadema na Uchaguzi 2020

K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
hao mbona miaka yote wanapambana na mbowe au umesahau leo hii?
Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaa.... Huu upuuzi hamsaidii mwenyekiti wenu kupambana na Membe, nape, bashe, jk, january, kinana na mwigulu.
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
hivi kuna mtu aliye wagonga chadema kama mwigulu, nape na membe? mbona mnakuwa wasaulifu sana? mnasahau kuwa mzee wa goli la mkono ndo aliyesababisha leo hii watu mnahemea juu juu?

tayari mmeshasahau kazi aliyotenda mwigulu chaguzi zoooooooooote? mpaka mkaanza mchukia? kweli dunia duara.ukifika wakati atawagonga tena.

Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
9,075
Likes
10,633
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
9,075 10,633 280
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
Hadithi ya kutunga hii !! Bahati mbaya wasomaji wako wana uelewa zaidi yako. Hivo hadithi imebuma
 
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Messages
6,208
Likes
4,695
Points
280
Mudawote

Mudawote

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2013
6,208 4,695 280
Jamaa yangu aliye ndani ya CDM (mbunge DSM) amenambia hili kwa uchungu sana. kuwa ndo maana kwa sasa Tundu Lissu ameamua kunyamaza kimya baada ya kuona wana chadema wameshamsahau na kuanza kumfikiria membe awe mgombea wao 2020.

ingawa yeye hajatangaza nia hiyo lakini alikuwa anaamini kuwa kwa yale aliyoyapitia ndani ya chama mpaka kutaka kuuawa leo hii wanachadema wasingekuwa watu wa kwenda mkumbatia fisadi membe joka la mdimu awe mgombea mwaka 2020. ni dhahiri shahiri kuwa wanaomtaka membe si wana ccm. ni wanachadema baada ya kuona anampinga sana magufuli au hakubaliki tayari wameanza kumwona ni shujaa kama ilivyokuwa kwa nape ambaye aligoma kuhama ccm.

anaumia sababu wanachadema wanaonekana wana ugonjwa mbaya sana wa kusahau na kukosa msimamo kwa kiwango kikubwa sana, huyu membe miaka 3 na nusu iliyopita alikuwa akisemwa hasa suala lake la kuhusishwa na kula pesa za ghadaff na kubadili dini ili apatwe uungwaji mkono wa urais. huyu huyu alihusika na yale mamilion ya pesa yaliyokamatwa dodoma kutoka kwa yule mhindi mfanyakazi wa yusufu manji ambaye alikuwa kambi ya membe.

membe huyu ambaye alijiaminisha kuwa yeye ndo alikuwa rais ajaye 2015 na kuwatangazia kabia ubaya maadui wake kuwa siku akishika urasi wahame nchi leo hii anakuwa shujaa mkubwa sana chadema. kinachomuuma tundu lissu ni kuwa badala ya chadema kuanza kutafuta mtu wa kumsimamisha mwaka 2020 wao tayari wameamua kumkumbatia membe mwana ccm wakidhani kuwa atatoka ccm aje chadema.

jamaa yangu huyo ambaye pia ni mbunge wa hapa dsm jimbo flani ameoneshwa kuhuzunishwa na wafuasi wa chadema wengi kutokuwa na uelewa na kujua nini wanataka kiasi kwamba wamekuwa kama watu wanaopapasa gizani wanashika hata waya wa umeme wakidhani ni kamba.
Hahaha bonge la posti. Cccc Mwanahabari Huru BAK na wanafiki wote mitaa ya ufipa inayoungua moto, mitaa ya ufipa ambayo kikamanda chao kipo segerea kikitoa huduma
 
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Messages
2,061
Likes
3,612
Points
280
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2015
2,061 3,612 280
Mjinga mwingine anayejiona mtu wa muhimu nchi huyu hapa eti "jamaangu mbunge wa CHADEMA " jamaa wewe ni takataka unayetaka ujione una thamani kwa kujipa marafiki ambao huna ili uonekane una sema ukweli......kichaa kama wewe unapata wapi rafiki mbunge tena wa CHADEMA?
 
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2015
Messages
1,579
Likes
1,943
Points
280
herzegovina

herzegovina

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2015
1,579 1,943 280
Tanzanite
 
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Messages
9,075
Likes
10,633
Points
280
Odhiambo cairo

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2015
9,075 10,633 280
hivi kuna mtu aliye wagonga chadema kama mwigulu, nape na membe? mbona mnakuwa wasaulifu sana? mnasahau kuwa mzee wa goli la mkono ndo aliyesababisha leo hii watu mnahemea juu juu?

tayari mmeshasahau kazi aliyotenda mwigulu chaguzi zoooooooooote? mpaka mkaanza mchukia? kweli dunia duara.ukifika wakati atawagonga tena.
Hivi nani ana mind upumbavu huu unaoutaja hapa ?! Cdm mmewazuia kufanya siasa, mmewabambikiza kesi kila moja na wengine kina Mawazo mmewaua lakini bado ndoto za Cdm zinawawewesesha !!!!

Mnashindana nanani hasa ?! Manaake hata chaguzi ndogo wamewaachia bado mnahangaika ?! Sijui shida yenu nini ?!
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
mbona unarusha mapovu tu? kwa nini usikae ukatulia ukatuliza akili ukaandika kwa akili? nyie ndo mnfaiharibu chadema ionekane ni chama cha kihuni hakina watu wenye akili. badala ya kujibu hoja unakuja kutukana na kutokwa povu. zamani chadema ilikuwa na watu wenye akili lakin kwa sasa .. inasikitisha sana.

Hivi nani ana mind upumbavu huu unaoutaja hapa ?! Cdm mmewazuia kufanya siasa, mmewabambikiza kesi kila moja na wengine kina Mawazo mmewaua lakini bado ndoto za Cdm zinawawewesesha !!!!

Mnashindana nanani hasa ?! Manaake hata chaguzi ndogo wamewaachia bado mnahangaika ?! Sijui shida yenu nini ?!
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
:D:D:D:D:D:D:D:D mbona unarusha mapovu tu? kwa nini usikae ukatulia, ukatuliza akili ukaandika kwa akili? nyie ndo mnaiharibu chadema ionekane ni chama cha kihuni hakina watu wenye akili. badala ya kujibu hoja unakuja kutukana na kutokwa povu. zamani chadema ilikuwa na watu wenye akili lakin kwa sasa .. inasikitisha sana.

mwaka huu watu kama nyie mtatoa povu sana na bado hii kitu mpaka 2025. iteni watu wooooooote. maana sasa mnaonesha kuwa mna upumbavu wa kiwango cha juu sana. PHD in pumbavusm.

Mjinga mwingine anayejiona mtu wa muhimu nchi huyu hapa eti "jamaangu mbunge wa CHADEMA " jamaa wewe ni takataka unayetaka ujione una thamani kwa kujipa marafiki ambao huna ili uonekane una sema ukweli......kichaa kama wewe unapata wapi rafiki mbunge tena wa CHADEMA?
 
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Messages
1,526
Likes
1,823
Points
280
Fernando Jr

Fernando Jr

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2017
1,526 1,823 280
Hekaya za Abunwasi
 
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Messages
2,061
Likes
3,612
Points
280
Tua Ngoma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2015
2,061 3,612 280
:D:D:D:D:D:D:D:D mbona unarusha mapovu tu? kwa nini usikae ukatulia, ukatuliza akili ukaandika kwa akili? nyie ndo mnaiharibu chadema ionekane ni chama cha kihuni hakina watu wenye akili. badala ya kujibu hoja unakuja kutukana na kutokwa povu. zamani chadema ilikuwa na watu wenye akili lakin kwa sasa .. inasikitisha sana.

mwaka huu watu kama nyie mtatoa povu sana na bado hii kitu mpaka 2025. iteni watu wooooooote. maana sasa mnaonesha kuwa mna upumbavu wa kiwango cha juu sana. PHD in pumbavusm.
Kajinga kamoja,mwanaume huwezi kutoa hoja mpaka uwaambie watu una rafiki mbunge? Utaolewa shauri yako mi nakusaidia mwenyewe
 
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Messages
2,127
Likes
2,828
Points
280
Age
27
dimaa

dimaa

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2016
2,127 2,828 280
Ngoja tupiganie nyongeza ya mshahara kwanza
 
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Messages
309
Likes
336
Points
80
K

Kiduku Lilo

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2018
309 336 80
wewe umeshaolewa mara ngapi na kuachika???????????
Kajinga kamoja,mwanaume huwezi kutoa hoja mpaka uwaambie watu una rafiki mbunge? Utaolewa shauri yako mi nakusaidia mwenyewe
 
Forum statistics

Threads 1,238,878
Members 476,223
Posts 29,335,219