Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,156
Kama ameanza kusoma mbona hatuoni updates?
Nilichokiona humu ni upendo Wa dhati Wa Watanzania(wanajamiiforums)wengi kutaka haki itendeke,msihofu haki huwa inacheleweshwa tu na watu wachache lakini haki haipotei kamwe.Watawala wanaamua wanachoweza mahakama nyingi hapa Tanzania hazitendi haki Ila zinauza haki kwa bei yeyote ile ni kwa sababu hiyo mahakama ni Kama"kiinimacho kinachowapumbaza watu"Sheria zinafanya kazi kwa upande mmoja(wenye nguvu tu) tutafika kweli?