Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Pamoja na kuchelewa sana, sasa jaji Moses Mzuna, ndo anatinga mahakamani, nitaendelea kuwajuza, ila naomba watu ambao hawapo mahakamani waache kutuma threads zingine zinawachanganya wasomaji.Ving'ora vya jeshi la polisi vinalia nje, vitisho kila kona utadhani kuna msafara wa Rais wa Marekani humu
Kushindana na haki ni sawasawa na kushindana na Mungu...hata wakijaribu vipi kutunyima haki yetu, mwisho wa siku tutaipata kwa wingi zaidi...!
 
Kushindana na haki ni sawasawa na kushindana na Mungu...hata wakijaribu vipi kutunyima haki yetu, mwisho wa siku tutaipata kwa wingi zaidi...!

Kama mmeshajuwa hamtendewi haki mnangoja kusikiliza hukumu kwa hamu kubwa kwanini? si mngefungasha tu mkatuwacha tusikilize hukumu ya haki.
 
Kwa ule mtiririko wa kesi ulivyokuwa, watitengua tu matokeo basi wajue thithiemu wamejimaliza kabisa manake hizi hukumu za kuandikiwa magogoni na kusomwa mahakamani, even a fool can tell that!!!!!!!
 
Tundu Lisu hata akibwagwa kaacha kumbkumbu kuwa muasisi wa hoja ya kura ya kumng'oa Pinda
 
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Mahanga.

Siyo lazima! vininevyo kulikuwa hakuna haja ya kuwapeleka mahakamani, wanaweza wakapoteza wote au baadhi au hata wakapona wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom