jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,687
- 1,780
Rejao tumemtimua muda si mrefu
Usingemjibu ungekuwa umemtimua vizuri zaidi kuliko kuhangaika kumjibu.
Hawa dawa yao ni kuwadharau na kuwapuuzia
Rejao tumemtimua muda si mrefu
Umeiweka kiimani zaidi!tusubili hukumu yenyewe!Kamanda Lissu atashinda kwa uwezo wa Mungu ingawa amekuwa mwiba mkali sana kwa magamba na yeye ni kama wabunge 50 wa magamba!!eace:eaceeoples Power!!! We shall overcome.
Ritz,
Post hii niliyomjibu bukanga niki-apply hapa utaomba kati ya Mnyika na Lissu hata mmoja asipoteze jimbo
Bukanga,
Ni kweli kaka.Jipe moyo kamanda.Roho inauma kwa kuwa chombo kinachotakiwa kusimamia haki hakina confidence ya umma.Chombo kinachotakiwa kutoa haki kina historia ya kunyonga haki.Kwangu mimi vyovyote itakavyokuwa Tundu Lissu anabaki kuwa role model katika kusimamia kile anachoamini na pia ni alama ya kupigana na impunity.Ni catalyst katika mabadiliko tuyatakayo.Naomba wale wabakaji wa demokrasia warudie tena kosa ili kuimarisha M4C.Waache watuongezee makamanda wa
kuharakisha mabadiliko ikiwezekana kabla ya 2015