Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Kama ameanza kusoma mbona hatuoni updates?

Nilichokiona humu ni upendo Wa dhati Wa Watanzania(wanajamiiforums)wengi kutaka haki itendeke,msihofu haki huwa inacheleweshwa tu na watu wachache lakini haki haipotei kamwe.Watawala wanaamua wanachoweza mahakama nyingi hapa Tanzania hazitendi haki Ila zinauza haki kwa bei yeyote ile ni kwa sababu hiyo mahakama ni Kama"kiinimacho kinachowapumbaza watu"Sheria zinafanya kazi kwa upande mmoja(wenye nguvu tu) tutafika kweli?
 
Mkuu tusamehe bure kama tumekosea kuunganisha Topics!

Kwani ili MoDs waunganishe threads wanatumia vigezo gani?

1.0 Kama threads zinazungumizia kitu kimoja.

2.0 Ikiwa namba moja imekubali basi wa kwanza kupost thread ndiyo anakuwa muanzisha uzi japokuwa wanaweza kuedit heading kulingana.

Tusiwalaumu MoDs wako vizuri sana.
 
umemuweka makongoro kututeka saikolojia zetu,ili 2amini hukumu masalia mbovu,katika hao makongoro ndo atapoteza.

Huku kuwajibu na kujibizana na watu ambao misimamo yao inafahamika ni kuwachokonoa na ndio mwanzo wa kuharibu thread.
Hebu plz tuwaache hao watu jamani
 
Serikali ianpoleta Polisi na vifaa vyote toka mikoa ya jirani just for one case of one MP, what does it mean?? Who pay for their extra allowances?? fuel?? etc??? isnt our PAYE????? God help us. Amen!!!

wao wanajua matokeo kwa hiyo wanachukua tahadhari lakin ni aibu kwa jeshi na serikali yetu na hata mahakama .. ina maana ipi kuandaa ulinzi wa ziada kwa kesi kama hiyo kwa hiyo hawajiamiini na wanamaamuzi ya mezan
 
Kamanda Lissu atashinda kwa uwezo wa Mungu ingawa amekuwa mwiba mkali sana kwa magamba na yeye ni kama wabunge 50 wa magamba!!:peace::peace:peoples Power!!! We shall overcome.
 
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Mahanga.

Ritz,

Post hii niliyomjibu bukanga niki-apply hapa utaomba kati ya Mnyika na Lissu hata mmoja asipoteze jimbo

Bukanga,

Ni kweli kaka.Jipe moyo kamanda.Roho inauma kwa kuwa chombo kinachotakiwa kusimamia haki hakina confidence ya umma.Chombo kinachotakiwa kutoa haki kina historia ya kunyonga haki.Kwangu mimi vyovyote itakavyokuwa Tundu Lissu anabaki kuwa role model katika kusimamia kile anachoamini na pia ni alama ya kupigana na impunity.Ni catalyst katika mabadiliko tuyatakayo.Naomba wale wabakaji wa demokrasia warudie tena kosa ili kuimarisha M4C.Waache watuongezee makamanda wa
kuharakisha mabadiliko ikiwezekana kabla ya 2015
 
Jamani kweli case hii ya LISSU na CCM tumwachie Mungu. Maana kweli inasikitisha sana kitendo walichomfanyia LEMA Arusha inaelekea hata kwa LISSU watamfanyia HIYANA lAKINI SISI TUNAMWAMBIA MUNGU HAKI LAZIMA IPATIKANE HATA KAMA WATAMHUKUMU NA KUMNGOA UBUNGE LAKINI CHADEMA WATA APPEAL NA HAKI ITAPATIKANA HATA KAMA ITACHELEWA NA KUPATIKANA KWA SHIDA. MUNGU MBARIKI TUNDU LISSU NA CHADEMA NA WALIPE CCM SAWA NA MATENDO YAO
AMINA
 
Tusubiri tuone. Mambo ya mahakamani huwa hayana dhamana wa ubashiri hasa kwa hizi nchi zetu za mwisho wa dunia
 
60 Reactions
Reply
Back
Top Bottom