Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

Hivi hii kesi Mh. Lissu anaweza kushindwa!!!!??

Kesi ambayo ccm wamekuwa wakikimbia, mara wamesahau nakala gesti!!? Mara shahidi alikuwepo hasubuhi mchana haonekani!!!?

tena gesti yenyewe inaitwa SUPE KITASA GUEST HOUSE
 
Serikali ianpoleta Polisi na vifaa vyote toka mikoa ya jirani just for one case of one MP, what does it mean?? Who pay for their extra allowances?? fuel?? etc??? isnt our PAYE????? God help us. Amen!!!
 
usisahau pesa hizihizi unazozilalamikia zinatoka kwetu walipa kodi
 
tena gesti yenyewe inaitwa SUPE KITASA GUEST HOUSE

mkuu hii super kitasa alilala mzee mmoja aliyenunuliwa kutoka kijiji kimoja ili aje atoe ushahidi..yule mzee alipofika mahakamani aliwageuka ccm na ndipo akasema ukweli kuwa wamempa pesa na kumlipia gesti akaitaja hiyo gest....sasa kama wakili nae alikuwa analala gest hiyo hiyo basi walaaniwe ccm wote
 
Naamini siku Upinzani ukishinda Urais CCM watakabidhi madaraka kwa Jeshi.
 
Du Mkuu Isango tuna refresh page kila sekunde lakini hatuoni updates mkuu tujuze. Tokea nimeingia kazini hii window ipo active muda wote
 
Kati ya Tundu Lissu au John Mnyika lazima mmoja apoteze jimbo...pamoja na Makongoro Mahanga.
 
Hivi hii kesi Mh. Lissu anaweza kushindwa!!!!??

Kesi ambayo ccm wamekuwa wakikimbia, mara wamesahau nakala gesti!!? Mara shahidi alikuwepo hasubuhi mchana haonekani!!!?
Sijui kuna grounds zipi zinazoweza kumuondoa Kichwa Lisu wanajamvi mmekuwa na wasiwasi namna hii, bahati mbaya wengine hatukuweza kufuatilia hii kesi na hata alichoshitakiwa nacho hatukijui.

Similar Discussions

Back
Top Bottom