tatizo wewe hujitambui, kwa hiyo unafikiria na yeye hajitambui pia.Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Kama kwa serikali za mitaa mwaka Jan? Kutelekezea fisi kitoweo?!Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Huyu ndo anafaa kuwa Amiri jeshi maana hayumbishwi na wahuniTunataka kiongozi kama Lissu tena mchakato mzima urudiwe ama wote walioenguliwa kihuni warudishwe haraka la sivyo hatuta elewana.
Alie kuambia chato airport ni international nan? Geita ni mkoa kama Dodoma wanavyoplan kujenga msalato ndivyo walivyofanya Geita shida mnahasira ,hii ni sawa unaambiwa demu wako ni malaya lakini kwa sababu unampenda unapotezea ila huo ni ukweli TL ni muongo na mtu mwenye jazba sana hana adabu hata kwa waliomzidiFujo zipi unazoongea wewe, mabeberu ndio wadau wetu wa maendeleo hatuna shida nao tunashirikiana nao tangu enzi za Nyerere. Unakumbuka mabeberu walivyowaleta SAS kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Nyerere...
Afanye na NEC imuache afanye, NEC inajipendekeza mpaka inampa kiki ya bureKufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Duuh.. anafagilia magufuli na chama chake?!Video : huyu hapa Mkurugenzi wa Tume
View attachment 1588247
Angeacha ili mpite bila kupingwa kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019? How foolish of youKama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.
Kubahatisha hakufai
Ha ha haaa! Siyo kufoka huko...ndiyo ongeaji yake, Mkuu....anatufokea sana mkuu...
Na huyo mahela muda si mrefu atatakiwa huko The HagueHii ndio inaitwa 'point of no return' kama NEC wanakiuka taratibu wajiandae kukabiliana na athari za matendo yao
Habari za huko Tanga, Mkuu!Hakuna chengine
...alisikika msukule akiropokaAnatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
Pole unaonyesha jinsi ulivyo mnyonge, vua mboga mboga vaa gwanda uikomboe nchi yako hujachelewaSiku 7 za Tundu Lisu zinaanza kesho.
Kama anahisi kuonewa aende mahakamani!
I fail to understand... post za Lissu ambazo zipo kwenye lugha ya kiingereza zinakua zinamlenga mtanzania ama?? Ukiitwa wakala wa mabeberu utalalamika?Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya Tundu Lissu
View attachment 1588241
Tatizo lako huipi nafasi akili yako ifanye kazi, uko kama robot programmer yuko LumumbaAnatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
Ha ha haa Kamanda upo front...!? Au umejificha chini ya "mouse"? H ahaaa! Ninyi watani mnanifurahisha sana....alisikika msukule akiropoka
Kwanza utaratibu wa kumzuia Lissu asifanye kampeni haukufuatwa kama Lissu alivyoeleza kwa hivyo kila kitu ni batili tu na Lissu ameshapangua yote hayo kama alivyopangua wito batili wa Polisi.Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Sheria ya maadili ya uchaguzi inatamka hivyo au ni sheria za Polepole?Alipewa wito kupitia kwa katibu wa chama ambaye kimsingi ndio mdhamini wa mgombea lakini alijiona yeye mwamba Ngoja tuone mwisho wa siku nani anaumia
Hiyo hapo Chini ni webcache ya 'mwandani wenu'!Tatizo lako huipi nafasi akili yako ifanye kazi, uko kama robot programmer yuko Lumumba
Akili ndogo, hapo umejenga hoja gani?Hiyo hapo Chini ni webcache ya 'mwandani wenu'!
Kigogo🇰🇪 on Twitter
===
Na hii inaweza kuwa ndiyo imesababisha Akaunti yake kufungwa...baada ya kumwaga 'maharage' ya Lissu. Upo?