Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
tatizo wewe hujitambui, kwa hiyo unafikiria na yeye hajitambui pia.

Rudi kamsikilize bila mihemko ya kijani labda utamuelewa
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Kama kwa serikali za mitaa mwaka Jan? Kutelekezea fisi kitoweo?!
 
Fujo zipi unazoongea wewe, mabeberu ndio wadau wetu wa maendeleo hatuna shida nao tunashirikiana nao tangu enzi za Nyerere. Unakumbuka mabeberu walivyowaleta SAS kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya Nyerere...
Alie kuambia chato airport ni international nan? Geita ni mkoa kama Dodoma wanavyoplan kujenga msalato ndivyo walivyofanya Geita shida mnahasira ,hii ni sawa unaambiwa demu wako ni malaya lakini kwa sababu unampenda unapotezea ila huo ni ukweli TL ni muongo na mtu mwenye jazba sana hana adabu hata kwa waliomzidi

sasa utaona hiyo Jpili apande jukwaani ndipo utajua Tanzania ni nchi huru hakuna Marekani wala cha amsterdam wala The hage nadhan uliwahi kusikia Trump kushutumiwa kuwa uchaguzi ulidukiliwa na Ussr sasa kama wao hawakupenda sisi ni nani watuingilie ,nawapa pole Chadema Lissu ni sikio haliwezi kuzidi kichwa.

Utaona kinachofuata msomi wa sheria sio yeye tu vipo vichwa vimetulia ,hata mimi hunijui ila nikiingia kwenye siasa mtaona hadi picha na video za faragha sasa Lissu kapaa kwa sababu ya siasa wala sio usomi wake Masters tu unajifanya ni wewe tu nchi hii eboo .
 
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Afanye na NEC imuache afanye, NEC inajipendekeza mpaka inampa kiki ya bure
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Angeacha ili mpite bila kupingwa kama kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019? How foolish of you
 
Anatafuta triggering factor...ya kuanzisha vurugu. Yawezekana ni moja ya kazi alizopewa, maana inasemwa si mwananchi mwenzetu yule. Fuatilieni ukweli wa hili.
Tatizo lako huipi nafasi akili yako ifanye kazi, uko kama robot programmer yuko Lumumba
 
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Kwanza utaratibu wa kumzuia Lissu asifanye kampeni haukufuatwa kama Lissu alivyoeleza kwa hivyo kila kitu ni batili tu na Lissu ameshapangua yote hayo kama alivyopangua wito batili wa Polisi.
 
Alipewa wito kupitia kwa katibu wa chama ambaye kimsingi ndio mdhamini wa mgombea lakini alijiona yeye mwamba Ngoja tuone mwisho wa siku nani anaumia
Sheria ya maadili ya uchaguzi inatamka hivyo au ni sheria za Polepole?
 
166 Reactions
Reply
Back
Top Bottom