Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Mshsuri babu yako afanye hivyo
 
Who hell is Lisu?
Ataangamizwa na nchi itendelelea!
Nchi hii ni zaidi ya lisu
Na nchi hii ni zaidi ya Magufuli na ccm,unajitia pamba masikioni kujing'ang'niza Tanzania ni ya ccm na washangiliaji wake unashindwa kujua ni ya Watanzania,unadhani wenye njaa waliotengenezwa na ccm ndani ya nchi hii wakiamua wasimame man to man against ccm na hao vibaraka wake polisi yupo wa kuwazuia?

Ni muda tu haujafika na muda unaweza kuwa mwaka huu,njaa inatia hasira kuliko umasikini,sasaivi Watanzania wananuka njaa yaani wame-advance kutoka kunuka umaskini mpaka kunuka njaa na sisemi Magufuli ni m'baya kama binadamu ana mazuri yake na mapungufu yake ila kwanini ana-force kutumia vyombo ambavyo kisheria havihusiki na uchaguzi kumu-harass Lissu ili tu ashinde yeye?kwanini asiache wananchi wakaamua?si anaamini alifanya mazuri sasa wenge lote la nini?na kinachonikera zaidi mimi ni huku kujifanya yeye ndiyo yeye kwamba watu wanalipa kodi ila yeye anawaambia live uso kwa macho kwamba hatawapelekea maendeleo kama hawakuichagua ccm,kwani hizo hela anatoa yeye mifukoni mwake?basi pia awaambie wakichagua mpinzani atafunga na ofisi za TRA za jimbo husika kwamba haitaji kodi kutoka kwao kama vipi wajiamulie wenyewe na mpinzani wao siyo anawaeleza ujinga halafu bado anataka walipe kodi.

Na kama kigezo cha maendeleo ya jimbo ni kuwepo mbunge wa ccm kuna asiyejua kilichotokea Mwibara,Magufuli alifoka foka akijua mbunge wa jimbo lile ni upinzani kwa aibu kumbe ni la ccm mwenzake Lugola sasa why hakumpelekea maendeleo?siasa za kishamba tu na huu siyo ushamba ni uwendawazimu.
 
Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.
Pole yako kama polepole wenu,sidhani kama unaakili kuwazid kina Aigipii Ziro,bashirue,meko.acha wakimbizwe mchakamchaka
 
Acha uzwazwa wewe,! Hivi vitisho vyenu pelekeni kwa beberu Amsterdam,

Lisu akifanya ujinga atafinyangwa kwa mujibu wa sheria za nchi hataogopwa yeye siyo mkubwa kuliko tz!

Usifikiri Lisu ana wafuasi yeye pekeake hata wenzie wana wafuasi. Mwambie afanye mambo yake kwa kiasi la sivyo atarudi kwa beberu wake amsterda akiwa analia
..................Mara hii atapanda ndege Magufuli kwenda the hague Lissu atabaki Tanzania akimuangalia kwenye tv akiwa kizimbani.

Lolote linawezekana mabaya huwapata wote hayachagui weka akiba ya maneno.
 
Labda aendelee na kampeni nyumbani sio kwa ardhi ya Tanzania yeye anataka kutuvurugia amani Yetu kwa kuwa ana option ya kukimbilia ubelgiji Sasa ajaribu kwenda kinyume na hiyo hukumu tuone hao wanaompa jeuri Kama wataingia hapa nchini kwetu kumsaidia. Yeye si mwanasheria aende akapambane na wenzie kwenye ulingo wa kisheria Kama angekua mstaarabu afuate utaratibu wa kutatua issue yake kwa amani otherwise sheria itambana kwa sababu alisain
Basi we "matacco"unajiona kama jiwe hapo nyuma ya keyboard, nchi hii ina wapuuzi wengi sana.
 
Huku tunako kwenda,muda wowote Lissu anaweza akajitangaza Kama Raisi wa Tanzania maana yeye hata hiyo Tume ya Uchaguzi aiheshimu kabisa!!
Hapana mkuu ,tume Ina watu wazuri ila nashangaa sijui inakwama wapi ,tume zimekuwepo ila ya Sasa naona Kuna Mambo hayako sawa, mkuu
 
Mimi siyo mwanasheria lakini naamini Tume ya uchaguzi inayoongozwa na Jaji mbobezi haiwezi kutoa maamuzi kwa kukurupuka.

Ndio najiuliza huyu Tundu Lisu " anadhani" anazijua sheria kuliko Jaji mstaafu Kaijage?

Maendeleo hayana vyama!
Unaweza ukawa gwiji la sheria lakini ukiwa CCM inatakiwa uwe zero brain ili uweze kuendana nao huko.Ukiwa CCM ukilaza unakuhusu!
 
Kinukisheni sasa acheni vitisho mbuzi
Mkuu acha uchochezi huu, kumbuka ulipopita kuanzia sekondari,chuo n.k migomo huwa na waratibu ,hivyo mpaka mda huu chadema na mgombea wao ndo watu wao wanasubili matamko toka kwao ,mfano wakitoa tamko hapa kwa kile unachosema itakuaje,acheni ushabiki wa maajabu ebu angalia tz kwanza,wengine hata ndege hatujawai panda na pesa za manati ,vipi kikiwaka naanzia wapi .acheni kujitoa ufaham mkuu ,
Haya Mambo yanaitaji suluhishwa Hali ikae sawa basi
 
Anachokitafuta na Amsterdam wake wanakaribia kukipata. Niliwahi kusema Lissu ana akili nyingi sana za darasani Ila Elimu ya Dunia ni ZERO. No wonder anatembea kwa kuchechemea kwa kutofunzwa na ***** na kufunzwa na ulimwengu. Sasa acha ulimwengu uendelee kumfundisha zaidi.

Akili yako ni matope subiri yakikukuta ndo utajua
 
Chama siyo yeye. Tatizo anachukulia yeye ni zaidi ya chama kwasababu mabeberu wanamjua yeye. Anataka afanye fujo ili mabwana zake wazungu waone.
Hahaha waache na chama chao wewe inakuhusu nini 😂😂😂😂😂
 
Thread on NEC Suspension of my Campaigns👇🏾:-

Just received news of suspension of my presidential campaign for alleged ethics violations. I never was served with any ethics charges nor afforded the opportunity to submit written defence to the charges.

I never was summoned to the Ethics Committee to defend myself in person. Even the decision to suspend me has not been communicated to me as required by the Ethics Regulations.


This orchestrated 'rough justice' is yet another proof of a discredited NEC and a compromised electoral system. The NEC’s decision is totally unacceptable. I'll not be intimidated or silenced. The campaign will continue on Sunday as scheduled.

#SasaBasi #TunduLissu2020 https://t.co/QZEZMnTzd3
Hii lugha common mwananchi wa kule Nyangwale anaijua?

Kiingereza mingi mingi(Kenyan voice)
 
Consequence zakuendelea kufanya kampeni zinaweza ku justify hatua ingine kubwa zaidi na ya kuumiza.Naamini NEC wakimkata kuendelea na uchaguzi hakuna kitakachotokea (kama ilivyotokea kwa JECHA).Atumie busara na ajenge hoja!!
Kweli kabisa acha ajifanyanye ni msomi wa sheŕia kuliko wote Tanzania ,mimi huwa nasemaga hata waandishi wa habari wanapotangaza redioni huwa wanasikilizwa na watu wenye uelewa tofauti wapo wanaojua kuliko mtangazaji na wapo wanaomuona matangazaji anajua sana sasa ndio hawa wanaompotosha huyu Bwana Ant Chrst Lissu aache jazba mwanasheria gani asiyeitii mamlaka,hata kama anajua sheria sana kuliko Majaji basi hata busara na heshima kakosa kiasi cha kuwaambiwa watu wajinga mbele ya vyombo vya habari .Huyu Bwana kanifanya nimpuuze sana.
 
Kweli kabisa acha ajifanyanye ni msomi wa sheŕia kuliko wote Tanzania ,mimi huwa nasemaga hata waandishi wa habari wanapotangaza redioni huwa wanasikilizwa na watu wenye uelewa tofauti wapo wanaojua kuliko mtangazaji na wapo wanaomuona matangazaji anajua sana sasa ndio hawa wanaompotosha huyu Bwana Ant Chrst Lissu aache jazba mwanasheria gani asiyeitii mamlaka,hata kama anajua sheria sana kuliko Majaji basi hata busara na heshima kakosa kiasi cha kuwaambiwa watu wajinga mbele ya vyombo vya habari .Huyu Bwana kanifanya nimpuuze sana.
Fuateni utaratibu😂😂😂
 
Back
Top Bottom