Uchaguzi 2020 Tundu Lissu asema ataendelea na Kampeni. Adai Sheria ya Maadili imevunjwa kumsimamisha Kampeni

I fail to understand... post za Lissu ambazo zipo kwenye lugha ya kiingereza zinakua zinamlenga mtanzania ama?? Ukiitwa wakala wa mabeberu utalalamika?
@El Maestro naomba nikuulize tuswali tuchache, je unajua tunatumia lugha rasmi ngapi ndani ya taifa hili? Hivi sheria zote zilizotungwa kwa lugha ya Kiingereza hapa nchini zinamlenga nani?

Katika katiba yetu, ziko lugha mbili zimetumika ambazo ni Kiingereza na Kiswahili, je unajua kunapotokea mkanganyiko katika kutafsiri Katiba, tafsiri ipi inatumika kuondoa huo mkanganyiko?

Na je unajua kuwa hiyo lugha ya Kiingereza inayotumika inawalenga Watanzania na si viumbe kutoka sayari ya Mars? Someni vijana, msikumbatie ujinga mkaamini mnajua kumbe hamjui chochote.
 
Akili ndogo, hapo umejenga hoja gani?
Nasubiri akili kubwa idadavue...! Sitegemei akili kubwa ianze kushangaa...! Muulize Lissu ameiandaaje wale aliokaribu naye kuwa wananchi wanaoipenda nchi yao? Sina mashaka na wewe kuwa unaangukia kundi gani katika muktadha huu!
 
Nasubiri akili kubwa idadavue...! Sitegemei akili kubwa ianze kushangaa...! Muulize Lissu ameiandaaje wale aliokaribu naye kuwa wananchi wanaoipenda nchi yao? Sina mashaka na wewe kuwa unaangukia kundi gani katika muktadha huu!
Bado uko nje ya hoja iliyo mezani, huwezi nipeleka nje ya mada siyo robot la Lumumba, ainisha hoja yako na mada (uzi) usitetereke kama bisi.

Misukule ya Lumumba Lissu kawakamata
 
...usitetereke kama bisi.
Ha ha haaa! Mambo ya 'Mcharuko' haya!
===
Tuendelee na mada, mkuu, maana somo umelipata barabara! Yaani hadi inafurahisha jinsi ninyi watani zangu mnavyoshindwa kukiri wazi wazi jinsi mlivyoshindwa kufanya maamuzi sahihi pale Mlimani City! Poleni hata hivyo.
 
Kama haiamini tume kwanini ashiriki uchaguzi? Si angeacha? Hiyo ingeleta maana kuwa kuna matatizo kwenye tume. Ni sawa na muumini anayemuomba Mungu bila kujua kuwa Mungu anaweza kufanya hicho anachokiomba. Wote wanaomuomba Mungu wanatumaini kuwa yupo na anaouwezo.

Kubahatisha hakufai
Mbona mfano wako ni nje ya mstari Mraaa Au ndo vile tena
 
Alie kuambia chato airport ni international nan? Geita ni mkoa kama Dodoma wanavyoplan kujenga msalato ndivyo walivyofanya Geita shida mnahasira ,hii ni sawa unaambiwa demu wako ni malaya lakini kwa sababu unampenda unapotezea ila huo ni ukweli TL ni muongo na mtu mwenye jazba sana hana adabu hata kwa waliomzidi sasa utaona hiyo Jpili apande jukwaani ndipo utajua Tanzania ni nchi huru hakuna Marekani wala cha amsterdam wala The hage nadhan uliwahi kusikia Trump kushutumiwa kuwa uchaguzi ulidukiliwa na Ussr sasa kama wao hawakupenda sisi ni nani watuingilie ,nawapa pole Chadema Lissu ni sikio haliwezi kuzidi kichwa .Utaona kinachofuata msomi wa sheria sio yeye tu vipo vichwa vimetulia ,hata mimi hunijui ila nikiingia kwenye siasa mtaona hadi picha na video za faragha sasa Lissu kapaa kwa sababu ya siasa wala sio usomi wake Masters tu unajifanya ni wewe tu nchi hii eboo .
kama The Hague unaandika The hage unafikiri nitabishana na wewe Kilaza

Ussr haipo tena kuna Russia, pia hawakudukua uchaguzi bali walijaribu kuingilia kwa kushawishi. Walichodukua ni Email binafai ya Bi Clinton

Sikujui jina na sura halisi ila kwa maandishi yako wewe ni Kilaza tu na nina uhakika ni form 4 failure na hata A level hujafika. Mtu mdogo sana kuniuliza kama nakujua kuna watu wana rub shoulders na wakubwa wako, na pia usidhani kila anayekosoa ni wapinzani wengine ni makada ila wanatanguliza Taifa mbele
 
@El Maestro naomba nikuulize tuswali tuchache, je unajua tunatumia lugha rasmi ngapi ndani ya taifa hili? Hivi sheria zote zilizotungwa kwa lugha ya Kiingereza hapa nchini zinamlenga nani?...
Ndugu, Kenya wanafundisha English only from primary kwenda elimu za juu, kwenye kampeni wenyewe wanatumia kiswahili chao kibovu, yani unaamini kabisa kwenye local politics we should use English? Mimi sipo upinzani lakini sometimes tunashauri tu kama mnaona mpo sahihi sawa
 
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Haters
 
😁😁😁😁😁 ngoja niwaambie kwa upole tuu MTAKAO UMIA NI NYINYI MISKULE yake hamuwezi kujifanya arrogant sababu ya icj
huu mchezo hauitaji hasira na huu ni mtego mnajiingiza kichwakichwa kubishana na vyombo halali

Mtachapika na asitokee mtu wa kuwasaidia

naona serkali ishajivua na lawama kama zitatokea vurugu + serkali inapata uhalali wa kuwashughulikia perpendicular

hapa lisu amekurupuka!!
Walete ujinga wati wajitoe muhanga,huenda mkaelewa mlikuwa mnachezea shilingi chooni!
 
Siyo kila aliyesoma sheria ni mweledi wa sheria, wengine wameambulia vyeti tu. Mweledi wa sheria nchi hii Ni mmoja tu.....Tundu Lisu.
 
Kufuatia mgombea Urais kupitia Chadema Mhe.Tundu Lissu kufungiwa kufanya kampeni kwa siku 7 kuanzia leo hadi tar. 9 Oktoba, atatumia nafasi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Chadema kufanya ziara ya siku 7 (kuanzia kesho) kuwanadi wagombea ubunge wa majimbo mbalimbali nchini...
Waziri Mkuu majaliwa anaruhusiwa kisheria kufanya kampeni? Lissu atatumia "namna" inayotumika kwa Majaliwa kwa kipindi hicho cha siku 7, sawa sawa?
 
"...wamenisimamisha kipindi Magufuli akiwa Gereji...." Mh. Tundu Antipasi Lissu.
Hapa ndipo huwa najiuliza akili za huyu mheshimiwa huwa zinakwama wapi, yaani bila "personal attack" hawezi kuelezea jambo na jamii ikaelewa? Tuliosoma NLP (Neuro-linguistic Programming) tunajua kuwa kichwani mwa Lissu kuna shida au ya kuzaliwa au ya kimalezi tu,... macho uona kile mtu anachokiwaza..
Huu ni wakati wa kampeni wewe mjinga!
 
kama The Hague unaandika The hage unafikiri nitabishana na wewe Kilaza

Ussr haipo tena kuna Russia, pia hawakudukua uchaguzi bali walijaribu kuingilia kwa kushawishi. Walichodukua ni Email binafai ya Bi Clinton

Sikujui jina na sura halisi ila kwa maandishi yako wewe ni Kilaza tu na nina uhakika ni form 4 failure na hata A level hujafika. Mtu mdogo sana kuniuliza kama nakujua kuna watu wana rub shoulders na wakubwa wako, na pia usidhani kila anayekosoa ni wapinzani wengine ni makada ila wanatanguliza Taifa mbele
Zifuatazo ni baadhi ya kauli tutakazozisikia kutoka kwa wafuasi wa CHADEMA, baada ya uchaguzi;

TUNAENDA ICC, LAZIMA MUITWE THE HAGUE
1. "Sitapiga kura tena"
2."Watanzania hawajielewi"
3."Wagombea wa ACT wamesababisha Lema,Sugu,Mbowe,Msigwa,Mdee kuanguka.Zitto ni Yuda"
4."Idara ya habari Chadema ifutwe"
5."Watanzania waoga sana"
6."Sitatuma hela kijijini" utafikiri huwa anatuma
7."Magufuli sio Rais wangu"
8."Tundu sema chochote tuingie barabarani"
9."Siangalii Tv wakati Magufuli anaongea"
10."Mbowe sasa basi"
 
Kutokana na agenda yake hilo la kuto tii kila mtu alilitarajia.

Kama watanzania wameshasahau risasi zake 16 asidhani akikamatwa atapata sympathy asilimia kubwa ya watanzania washamuona ni trouble maker tu hana jema.

Badala ya vyombo vya ulinzi kuwekwa ransom na kuangaika na Lissu pekee, hiyo adhabu NEC waipeleke CDM ikiwezekana asipotii wafungiwe kushiriki uchaguzi kama awawezi mdhibiti mgombea wao.
Endeleeni kusupport ujinga ila hamjui mnachezea amani!Nawaambia mkifanya ujinga basi kuna kila dalili damu itamwagika!
 
Back
Top Bottom