Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,812
- 6,327
Navyofahamu CCM hawatakubali kushindwa kwenye hili mengine mbwembwe tu.
Hawezi kabisa kuingia mkenge maana anajua moto wa Lissuhivi hiyo kesi anashitakiwa spika au bunge?kama ni bunge,watawakilishwa na wakili gani(wa akina mdee ni tundu lisu),najua masaju hata wamshikie bunduki hatakubali kuingia kwenye mtanange na lisu..kesi tamu sana hii
Ushauri mzuri sanaYule angerudishwa India
Uwekewe wewe nani? Hukumu yao ni maamuzi ya bbunge akiwamo na yeye Lisu, Mnyika na Upendo peneza. Kura zikikubaliwa na Spika ndio azimio la bbunge. Nenda kwenye hansadi ukasome.Unaweza kutuwekea softcopy ya hiyo hukumu/maamuzi humu?
Alishajua kuwa kashamwaga maji na alijilaumu kimoyomoyoKweli mkuu,kauli ile ya ndungai eti waende popote na itakuwa mwanzo wa constitutional crisis ktk nchi sijaelewa kabisa
NA mzalendo wa kweliTundu Lissu ni mtanzania halisi.
Mbona mbunge anafukuzwa na wabunge kwa kukiuka kanuni za bunge!? Soma kanuni za bunge 74(5).Tena wajinga wa kutupa maana hata hawajui kuwa mwenye kumfukuza mbunge ninani
NA ndege za kumpeleka india hatunazoHahahahaa utasababisha babu kipara apandishe sukari huko ikulu
ahahaha! kwa hiyo kwenye ule mviringo kuna nini?Huyu sawa pekee anayaburuza mazwazwa yote ya ccm pale bungeni...India waliondoka na ubongo wa Spika
Basi tuseme Lissu anawazidi wabunge wote wa ccmChakwako sio kichwa eeeh!? Aisee ,ama kweli ushabiki ukizidi mtu hujitukana mwenyewe
Hawezi kufukuzwa na bungeMbona mbunge anafukuzwa na wabunge kwa kukiuka kanuni za bunge!? Soma kanuni za bunge 74(5).
Unataka aitwe Msaliti?Mbowe please tangazeni Lissu kuwa kiongozi wa chadema kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2020
Nimekuwekea kanuni soma. Mbona makelele mengi?Hawezi kufukuzwa na bunge