Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 7,515
- 8,203
MAKINIKIA YAMEMSHINDA?
Hiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Sijakuelewa mkuu? Unamaanisha ukiwa daktari hutakiwi kuogopa (kujihadhari na) ugonjwa wowote hata kama ni HIV, kimeta au kipindupindu kwa kuwa u-dokta utajitibu na kupona.Kwikwikwi Lisu lini amewahi kushinda kesi yoyote!? Lisu ni mweupe sana.
Kwenye hili atatoka kapa. Mwanasheria gani huyo anaogopa kushitakiwa!?
UMebaki kuleta mipasho kama waimba taarabu!Chezea nyumba ndogo ikiguswa iwe ya kiume au ya kike hata wewe ungekuwa wakili wake mbobezi ghafla wakati hata sheria hujawahi soma hata chekechea
TLS.....Nimemsikia. Hoja zinaTIRIRIKA kwa mpangilio safi. Wangekuwa wengine wangeandikiwa na kuishia kusoma... Kwa maelezo haya, Ndugu Gai, Mzee wa kucharaza wenzake bakora, ana kesi ya kujibu....Ila sijui AKIPATIKANA na HATIA adhabu yake itakuwa nini. Yawezekana ikawa KUFUNGIWA KULIONGOZA BUNGE kwa VIKAO 20!
Anafukuzwa kutoka bungeni kwa kipindi fulani lkn siyo kumvua ubunge jiongeze nduguMbona mbunge anafukuzwa na wabunge kwa kukiuka kanuni za bunge!? Soma kanuni za bunge 74(5).
Mkuu nimefanikiwa kuona video clip moja ya taarifa ya habari Azam TV. Kaimu KUB Ally Saleh amesema wameshawasilisha malalamiko yao kwa katibu wa bunge. Katika ufafanuzi wake kadai kwanza ni makosa kuwahukumu bila kuwasikiliza ukizingatia kuwa wito wa kuja mbele ya kamati haukuwafikia kwa sababu ya spika kuharakisha hili jambo. Pili ni makosa kumuhukumu Bulaya kwa kosa la kuwahimiza wenzake watoke nje kwasababu aliyetoa agizo hilo ni yeye Ally Saleh.Safi sana Mh. Tundu Lissu kutupatia ufafanuzi wa ''adhabu'' hii isiyozingatia kanuni, taratibu, bila fursa ya wabunge kujitetea kwa ''kosa lao'' na pia katiba ya nchi.
Unafikiri kati ya kichwa hiki na cha ZZK kipi kiko vizuri sana?Hiki ndio kichwa pekee katika nchi hii.
Perhaps he is the most intelligent MP so far.
Kwikwikwi. Ngoja nikucheke tu. Maamuzi yameshatolewa sasa Lisu issue iko kwake aende aendako. Apeleke kesi mahakamani utaona nguvu ya spika. Hapo anabwatuka tu baada ya hapo atajifungia shimoni kama panya kasikia paka.Huyo jamaa ni zero haswa, bila Shaka ni BASHITE huyu, kila mahali anaprove namna ALIVYO zero!
Bado unakamba mguuni! Huwezi kujadili mambo mazito hayaTungemshangaa asingepinga. Ameumbwa ili apenge ukweli wowote.
wabunge wa CCM hasa wanawake wengi ni vilaza na wana roho mbaya sana yaani badala ya kuwalaani wabunge wenzao waliomtukana mnyika mwizi wakaanza kuwashambulia mdee na bulaya kana kwamba wao ndiyo chanzo cha vuruguILI WATANZANIA WAONJE MATUNDA YA UHURU LAZIMA CCM IWE CHAMA CHA UPINZANI JAPO MIAKA MITANO TU TAIFA LITAZALIWA UPYA KABISA
Hicho si kigezo cha kuacha kusema UkweliHata Enzi za NCCR, walikuwepo manguli wa sheria akina Lamwai. Leo wako wapi?