Tundu anakwenda kula mabilioni yake aliochangiwa na mabeberu
Kama alishindwa kuleta Mageuzi akiwa nchini,hatoweza kuleta Mageuzi kwa Twitter,ni majuha tu ndio watamuelewa
Tutegemee Tundu akirudi akiwa mzee ,kachoka Kama Abdulrahman Babu na Oscar Kambona,
Kwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?Majeshi ya Burundi yapo na wengine wamevishwa sare za Polisi usilete uda hapa kila mtu anajua na hao majeshi wenu wanatuambia mitaani hakuna cha siri tena
Ulisoma post zangu huko juu. ? ,Hivi waburundi wametoka Sayari ya Mars? Mbona tunakwenda kwao mara nyingi. Wacha kuleta usenge . Mapolisi wanaongea kiburundi tunawasikia unasema tumeambiwa na wanajeshi? Hao wanajeshi wanatuhakikishia kuwa hao sI polisi ni wanajeshi kutoka BurundiKwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?
Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
Sasa hili povu unamtolea nani hapa?Ulisoma post zangu huko juu. ? ,Hivi waburundi wametoka Sayari ya Mars? Mbona tunakwenda kwao mara nyingi. Wacha kuleta usenge . Mapolisi wanaongea kiburundi tunawasikia unasema tumeambiwa na wanajeshi? Hao wanajeshi wanatuhakikishia kuwa hao sI polisi ni wanajeshi kutoka Burundi
Waruanda waulize waliokuambia ,au wapi nilikuandikia habari ya Rwanda?
Jamani ,tunaleta uchochezi wa kimataifa na kuharibu diplomasia yetu na majirani,naomba tujiheshimu, tuwe makini!Kwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?
Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
Hawa jamaa chuki waliyonayo kwa hii nchi inapelekea kukosa uwezo wa ku reason.Sasa hili povu unamtolea nani hapa?
Yani wewe uwasikie polisi wakionge kirundi? Na wakakwambia wametoka burundi? Ndio maana nikakwambia haya matakataka mnayolishwa na kigogo muwe knabaki nayo huko huko jalalani kwake!
Au kama vipi ingia barabarani kupinga uwepo wa hao wanajeshi unaosema wametoka burundi, si mgombea wako alisema muandamane au?
Sasa unaleta mengine ,yaani unajifanya wewe kama askari wa kirundi?Sasa hili povu unamtolea nani hapa?
Yani wewe uwasikie polisi wakionge kirundi? Na wakakwambia wametoka burundi? Ndio maana nikakwambia haya matakataka mnayolishwa na kigogo muwe knabaki nayo huko huko jalalani kwake!
Au kama vipi ingia barabarani kupinga uwepo wa hao wanajeshi unaosema wametoka burundi, si mgombea wako alisema muandamane au?
Umejibu hoja kipuuzi kabisaWaketajwa majina na uzi upo hapa kupitia taarifa rasmi ya ACT wazalendo!Kama ni uongo mbona Zitto hajakamatwa?
Kuwwni na huruma na watanzania wenzenu!
Halafu wazanzibar ni wajinga sana,inakuwaje kila mwaka wanakubali askari kutoka bara kupelekwa zanzibar kulinda amani mwisho wa siku wanawauwa bila kujali?
ingekuwa ni askari wazawa wa Zanzibar ,wasingefanya unyama huo kwa ndugu zao!
Vipi nasikia Mdee kachinja je nikweliBora ajiondokee tu linchi limekuwa la hovyo kabisa.
Aache kulea shavu lake amerogwaaHii inaitwa Political Tourism. Unaenda nchi fulani unagombea Urais, Uchaguzi ukiisha unapanda ndege unaenda kuendelea na maisha yako.
Wale waliomuamini wote anawaona mabwege.
Maneno ya mkosajiSasa unaleta mengine ,yaani unajifanya wewe kama askari wa kirundi?
Lete lugha unayoipenda hii sio siri tena kila mtu anaelewa mumekodi majeshi ya Burundi yawasaidie kuiba kura huku mumewavisha sare za polisi wa Tanzania . Na wengi wao ndio wanaoua watu huku visiwani
Wacha kutuletea usenge . Sisi wengine tunajua tufanye nini na mtalitema fupa kutaka msitake na vikaragosi vyenu vya burundi
Mimi sigombanii uongozi nagombania kubadilisha system iliyofeli ya CCM inayoiangamiza nchi.Maneno ya mkosaji
We MATAGA @Jamsoni Tegga njoo usome UTUMBO wako tenaVijana wa BAWACHA wanaumia sana wanaposikia Dkt. Magufuli anaendelea kutawala hadi 2050. Zile habari za "for the first time in the history of our country, Magufuli is going to be a one-term president," zimeyeyukia kusikojulikana.
Time has answers for everythingVijana wa BAWACHA wanaumia sana wanaposikia Dkt. Magufuli anaendelea kutawala hadi 2050. Zile habari za "for the first time in the history of our country, Magufuli is going to be a one-term president," zimeyeyukia kusikojulikana.
Mimi sigombanii uongozi nagombania kubadilisha system iliyofeli ya CCM inayoiangamiza nchi.
Kama kukosa tumekosa sote na vizazi vijavyo kwani hao akina Magufuli wanavyofanya kujikopea ovyo pesa kwa wazungu tunawaweka wajukuu zetu kwenye madeni na sisi tunaangamia
We MATAGA @Jamsoni Tegga njoo usome UTUMBO wako tena
Time has answers for everything
Bottom line is Magufuli has been a One Term President as we prophesized. Hayo mengine tuachie sisi tutayamudu.Your premature excitement seems partly justified. However, regarding what I said, when I wrote it, the year 2050 should have given you a clue that I wasn't unmindful of the fact that anything could happen along the way. For instance, Jesus could return and the world would have come to an end any time in between, and that's it. A justified possibility!
Most importantly, nowhere will it be registered that Magufuli was a one-term president. He won the election and served his term (though not to the very end as we all envisioned it in the first place).
Halafu, hivi kwani sasa mko hapo Chamwino Ikulu mnatawala nyie jamaa -- now that Magufuli is no more!??? Don't you understand that his very stable government is still is place -- and actually for a long time in the future!??? Every leader -- be it public official or from private sector -- is quoting him as an exemplary. Kila raia mwema na kiongozi anataka kumwiga!!! Raia kila mahali wanawasihi sana viongozi waliopo wasije kujidanga na kujiroga kwenda kinyume na Magufulism. Shouldn't this alone shock you, Mr & Mr Pessimist!???
Eti 2050!! Cut this crap of justifying petty illusions. Admit it, u are myopic and couldn't figure out that a tyrant leader is a an average human being and not a god-mode immortal-superhuman of some sort!!Your premature excitement seems partly justified. However, regarding what I said, when I wrote it, the year 2050 should have given you a clue that I wasn't unmindful of the fact that anything could happen along the way. For instance, Jesus could return and the world would have come to an end any time in between, and that's it. A justified possibility!