Tundu Lissu aondoka nchini kuelekea Ubelgiji. Asema anakwenda uwanja mpya wa kudai haki, demokrasia na utu wetu kwa nchi yetu

Tundu anakwenda kula mabilioni yake aliochangiwa na mabeberu
Kama alishindwa kuleta Mageuzi akiwa nchini,hatoweza kuleta Mageuzi kwa Twitter,ni majuha tu ndio watamuelewa
Tutegemee Tundu akirudi akiwa mzee ,kachoka Kama Abdulrahman Babu na Oscar Kambona,

Nyinyi mabilioni yenu wapelekeeni warundi mliokodisha majeshi yao na kuwavika sare za Polisi wa TZ
 
Majeshi ya Burundi yapo na wengine wamevishwa sare za Polisi usilete uda hapa kila mtu anajua na hao majeshi wenu wanatuambia mitaani hakuna cha siri tena
Kwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?

Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
 
Ulisoma post zangu huko juu. ? ,Hivi waburundi wametoka Sayari ya Mars? Mbona tunakwenda kwao mara nyingi. Wacha kuleta usenge . Mapolisi wanaongea kiburundi tunawasikia unasema tumeambiwa na wanajeshi? Hao wanajeshi wanatuhakikishia kuwa hao sI polisi ni wanajeshi kutoka Burundi

Waruanda waulize waliokuambia ,au wapi nilikuandikia habari ya Rwanda?
 
"Lisu apata kibali cha kuhutubia bunge la ulaya" Kuna mahali nimesoma hii habari sina hakika Kama Ni kweli
Mambo ni Kama yanaendelea kuiva
 
Ulisoma post zangu huko juu. ? ,Hivi waburundi wametoka Sayari ya Mars? Mbona tunakwenda kwao mara nyingi. Wacha kuleta usenge . Mapolisi wanaongea kiburundi tunawasikia unasema tumeambiwa na wanajeshi? Hao wanajeshi wanatuhakikishia kuwa hao sI polisi ni wanajeshi kutoka Burundi

Waruanda waulize waliokuambia ,au wapi nilikuandikia habari ya Rwanda?
Sasa hili povu unamtolea nani hapa?
Yani wewe uwasikie polisi wakionge kirundi? Na wakakwambia wametoka burundi? Ndio maana nikakwambia haya matakataka mnayolishwa na kigogo muwe knabaki nayo huko huko jalalani kwake!

Au kama vipi ingia barabarani kupinga uwepo wa hao wanajeshi unaosema wametoka burundi, si mgombea wako alisema muandamane au?
 
Kwahiyo unaambiwa na hao wanajeshi kwamba hapa nchini kuna wanajeshi toka burundi?

Wale wa Rwanda mlikuwa manasema wanamlinda mkulu wao walishaondoka?
Jamani ,tunaleta uchochezi wa kimataifa na kuharibu diplomasia yetu na majirani,naomba tujiheshimu, tuwe makini!
 
Sasa hili povu unamtolea nani hapa?
Yani wewe uwasikie polisi wakionge kirundi? Na wakakwambia wametoka burundi? Ndio maana nikakwambia haya matakataka mnayolishwa na kigogo muwe knabaki nayo huko huko jalalani kwake!

Au kama vipi ingia barabarani kupinga uwepo wa hao wanajeshi unaosema wametoka burundi, si mgombea wako alisema muandamane au?
Hawa jamaa chuki waliyonayo kwa hii nchi inapelekea kukosa uwezo wa ku reason.
 
Sasa hili povu unamtolea nani hapa?
Yani wewe uwasikie polisi wakionge kirundi? Na wakakwambia wametoka burundi? Ndio maana nikakwambia haya matakataka mnayolishwa na kigogo muwe knabaki nayo huko huko jalalani kwake!

Au kama vipi ingia barabarani kupinga uwepo wa hao wanajeshi unaosema wametoka burundi, si mgombea wako alisema muandamane au?
Sasa unaleta mengine ,yaani unajifanya wewe kama askari wa kirundi?

Lete lugha unayoipenda hii sio siri tena kila mtu anaelewa mumekodi majeshi ya Burundi yawasaidie kuiba kura huku mumewavisha sare za polisi wa Tanzania . Na wengi wao ndio wanaoua watu huku visiwani
Wacha kutuletea usenge . Sisi wengine tunajua tufanye nini na mtalitema fupa kutaka msitake na vikaragosi vyenu vya burundi
 
Waketajwa majina na uzi upo hapa kupitia taarifa rasmi ya ACT wazalendo!Kama ni uongo mbona Zitto hajakamatwa?
Kuwwni na huruma na watanzania wenzenu!
Halafu wazanzibar ni wajinga sana,inakuwaje kila mwaka wanakubali askari kutoka bara kupelekwa zanzibar kulinda amani mwisho wa siku wanawauwa bila kujali?
ingekuwa ni askari wazawa wa Zanzibar ,wasingefanya unyama huo kwa ndugu zao!
Umejibu hoja kipuuzi kabisa
 
Sasa unaleta mengine ,yaani unajifanya wewe kama askari wa kirundi?

Lete lugha unayoipenda hii sio siri tena kila mtu anaelewa mumekodi majeshi ya Burundi yawasaidie kuiba kura huku mumewavisha sare za polisi wa Tanzania . Na wengi wao ndio wanaoua watu huku visiwani
Wacha kutuletea usenge . Sisi wengine tunajua tufanye nini na mtalitema fupa kutaka msitake na vikaragosi vyenu vya burundi
Maneno ya mkosaji
 
Maneno ya mkosaji
Mimi sigombanii uongozi nagombania kubadilisha system iliyofeli ya CCM inayoiangamiza nchi.

Kama kukosa tumekosa sote na vizazi vijavyo kwani hao akina Magufuli wanavyofanya kujikopea ovyo pesa kwa wazungu tunawaweka wajukuu zetu kwenye madeni na sisi tunaangamia
 
Vijana wa BAWACHA wanaumia sana wanaposikia Dkt. Magufuli anaendelea kutawala hadi 2050. Zile habari za "for the first time in the history of our country, Magufuli is going to be a one-term president," zimeyeyukia kusikojulikana.
We MATAGA @Jamsoni Tegga njoo usome UTUMBO wako tena
 
Time has answers for everything
 
Mimi sigombanii uongozi nagombania kubadilisha system iliyofeli ya CCM inayoiangamiza nchi.

Kama kukosa tumekosa sote na vizazi vijavyo kwani hao akina Magufuli wanavyofanya kujikopea ovyo pesa kwa wazungu tunawaweka wajukuu zetu kwenye madeni na sisi tunaangamia

Unataka system gan?
 
Your premature excitement seems partly justified. However, regarding what I said, when I wrote it, the year 2050 should have given you a clue that I wasn't unmindful of the fact that anything could happen along the way. For instance, Jesus could return and the world would have come to an end any time in between, and that's it. A justified possibility!

Most importantly, nowhere will it be registered that Magufuli was a one-term president. He won the election and served his term (though not to the very end as we all envisioned it in the first place).

Halafu, hivi kwani sasa mko hapo Chamwino Ikulu mnatawala nyie jamaa -- now that Magufuli is no more!??? Don't you understand that his very stable government is still is place -- and actually for a long time in the future!??? Every leader -- be it public official or from private sector -- is quoting him as an exemplary. Kila raia mwema na kiongozi anataka kumwiga!!! Raia kila mahali wanawasihi sana viongozi waliopo wasije kujidanga na kujiroga kwenda kinyume na Magufulism. Shouldn't this alone shock you, Mr & Mr Pessimist!???

Bottom line is Magufuli has been a One Term President as we prophesized. Hayo mengine tuachie sisi tutayamudu.

Angekuwa exemplary asingeiba uchaguzi wote wa 2020. Mungu amemtandika
 
Your premature excitement seems partly justified. However, regarding what I said, when I wrote it, the year 2050 should have given you a clue that I wasn't unmindful of the fact that anything could happen along the way. For instance, Jesus could return and the world would have come to an end any time in between, and that's it. A justified possibility!

Most importantly, nowhere will it be registered that Magufuli was a one-term president. He won the election and served his term (though not to the very end as we all envisioned it in the first place).

Halafu, hivi kwani sasa mko hapo Chamwino Ikulu mnatawala nyie jamaa -- now that Magufuli is no more!??? Don't you understand that his very stable government is still is place -- and actually for a long time in the future!??? Every leader -- be it public official or from private sector -- is quoting him as an exemplary. Kila raia mwema na kiongozi anataka kumwiga!!! Raia kila mahali wanawasihi sana viongozi waliopo wasije kujidanga na kujiroga kwenda kinyume na Magufulism. Shouldn't this alone shock you, Mr & Mr Pessimist!???
Eti 2050!! Cut this crap of justifying petty illusions. Admit it, u are myopic and couldn't figure out that a tyrant leader is a an average human being and not a god-mode immortal-superhuman of some sort!!

I wonder mlitaka mumuongezee vipindi ssa mlikua hamjui ni binadamu au mgonjwa? Hvi leo hii angeingia Samia mngefuta hiko kipengele au na yye mngemuacha atawale hadi 2050?

Hii nchi haina political strategists imebakiza wafia chama tu kma ww, aibu yenu hii.
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom