Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 9,878
- 19,794
COMPLETE LIE! Vipi wale mliotaka wafie barabarani??? Hawakuwa watu??? Nyie wasababishi na wachochezi wa machafuko na ghasia na vifo vya Watanzania ndio wa kwanza kukimbilia kwenye balozi na kukwea pipa kwenda kujificha mkiogopa mauti, ilhali mmewadanganyeni wenyewe. Basi wapeni hata hela za matibabu au mazishi.Mtu asiye na hoja utamjua tu!Umeruka kutoka kwenye hoja umekimbilia Corona na kuanza kunijumlisha na kundi la watu!
Jikite kwenye hoja,watu 13 wamepigwa risasi,akina mama wawili wamebakwa na wengine wamejeruhiwa majina yametajwa halafu mnaleta porojo hapa!Mtu wa 14 amekufa leo,alipigwa risasi miguuni,wauaji wakubwa!
Mnaua wtz wenzenu utafikiri mtaishi milele?