biswalo mganga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Peter Madeleka awaburuta Mahakamani Jaji Biswalo Mganga na Kamishina wa uhamiaji Anna Makakala

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023 Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
  2. J

    Biswalo atafaa kuwa Jaji Mkuu, alionesha uwezo mkubwa wa kushawishi kumalizwa kesi nje ya Mahakama

    Kwa sasa kipaumbele cha Mahakama duniani kote ni kujitahidi kumaliza kesi kwa njia ya Usuluhishi badala ya Kuhukumu. Akiwa Mkurugenzi wa Mashtaka Mh. Biswalo alionyesha uwezo mkubwa katika eneo Hili la ushawishi na nadhani ndio sababu alipandishwa cheo na kuwa Jaji wa Mahakama Kuu. Wakati Jaji...
  3. S

    Tundu Lissu amjibu Biswalo Mganga kuhusu madai yake kuwa ni kosa la jinai kuongeza maneno kwenye Wimbo wa Taifa

    Mh. Jaji Biswalo Mganga, Katiba yetu haiutambui wala kuutaja Wimbo wa Taifa mahali popote. Sheria ya Nembo za Taifa haitambui wala kusema chochote juu ya Wimbo wa Taifa! Sasa inakuwaje kinyume cha Katiba na kosa la jinai kuongeza maneno 'Mungu ibariki CHADEMA' kwenye Wimbo huo? Chanzo...
  4. RWANDES

    Rais akiruhusu 'plea bargaining' kufanyiwa uchunguzi katika Serikali ya Awamu ya Tano atakuwa amekosea sana

    Ajue kuwa hao wanaompelekea maneno na kumshauri uchunguzi ufanyike ajifikrie yeye mwenyewe je hayo yaliyokuwa yanafanyika hayakufanyika kwa mjibu wa sheria? CAG hata kama anveweza kukagua ofisi yake kama raisi lazima dosari zionekane na akumbuke kuwa hakuna serikali kuanzia awamu ya nne hadi ya...
  5. Nyankurungu2020

    Biswalo Mganga hana makosa. Plea bargaining ni kwa mujibu wa sheria. Hakuna pesa iliyoingia mfukoni kwa mtu. Zitto ni mpenda sifa za kijinga

    Kifungu cha 194H cha sheria ya mwendo wa makosa ya jinai kinatoa namna ambavyo plea bargaining itafanyika. Hata kanuni zilizotolewa na jaji mkuu zipo wazi kabisa. Kuwa mtuhumiwa ataandika barua kwa DPP na baada ya hapo taratibu zitafuata na kama kwa sababu atakuwa amekiri kosa basi mzigo...
  6. Erythrocyte

    Sakata la 'Plea Bargain': Wadau wamwandikia barua Rais Samia kutaka amuondoe Biswalo Mganga

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo ya Gazeti la Raia Mwema Kwamba kutokana na kuvuja kwa Taarifa nyingi kuhusu unyama uliotendwa kwenye kilichoitwa Plea Bargain, iliyosimamiwa kikamilifu na DPP wa wakati ule aliyeitwa Biswalo Mganga. Wadau wamemkumbusha Mh Rais kuhusu Makando kando ya Mtu huyo na...
  7. Maramla

    Kwa hili la Biswalo, Chadema tujitafakari kwa kina!

    KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA! Na, Julian Chacha – RORYA Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa baadhi ya watu. Sisi wanachadema tuanelewa kwanini chama chetu kipo kilipo, hawa wanaojaribu kununua...
  8. BAVICHA Taifa

    Tamko la CHADEMA kuhusu uteuzi wa Biswalo Mganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

    Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan. Kutokana na unyeti wa nafasi hizo katika kusimamia haki nchini tumeona ni muhimu kusema...
  9. Zanzibar-ASP

    DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  10. B

    DPP Biswalo Mganga kutenguliwa nafasi ya ujaji kabla yakuapishwa?

    Mhe. Rais SSH naomba nikupongeze kwa ujasiri wa kufanya yale waliyotuaminisha hayawezi kufanywa na viongozi wa chama Cha Mapinduzi. Nikupongeze kwa kusikia kilio Cha wengi kuhusu tuhuma zinamkabili mtumishi wa Umma mmojammoja pamoja na tuhuma za Wana CcM. Ulimteua Biswalo Mganga kuwa Jaji kwa...
  11. R

    Bado DPP Biswalo Mganga baada ya Ole Sabaya

    Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens. Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
  12. Kivumishi Kielezi

    Biswalo Mganga ana shida gani?

    Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua. Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao. Mpaka sasa, DPP amepachikwa shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu kesi na kudhulumu fedha. Sifahamu kwa hakika kama wanaoyasema hayo ni wahanga wa mkono wa DPP ama...
  13. Etwege

    Jaji wa Mahakama Kuu, Biswalo Mganga, tembea kifua mbele

    Mhe. Biswalo Mganga, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mamlaka aliyonayo wewe Mkurugenzi wa Mashitaka nchini, pamoja na Naibu wako, na kukuteua kuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania. Mhe. Biswalo Mganga, Ninachotaka kukwambia, kwa niaba ya wananchi wa...
Back
Top Bottom