hopaje
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 1,726
- 1,218
Imevujaje ? Wakati naona kuna mtu mwingine anarecord tena yuko mbele hapo na hajaficha recorder yake ? Na Lissu anasema anajua taarifa zikiwafikia wengine watasema amekua omba omba which means haikua kikao cha siriAibu sana hii na pia video baada ya kuvuja amejisikia vibaya sana kwa taarifa za mtu wa Karibu na hapa ndo ajue sio wote wanaompigia makofi manake wanampenda
Pole sana kwa njaa na huenda ukalala Nje kwa kufukuzwa kodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu,humu watu sio wajinga ndio maana tunajua kusoma na kuandika.Ila nina imani humu watu wapumbafu wapo,tena wengi tu.Mwenyewe anajiona yupo d
Halafu wewe nawe,kwani ni dhambi au vibaya wewe kuwa mfuasi wa lissu na chama chake?unaleta kujificha ficha mara sijui utu mara nini sijui?au unafikiri watu wote ni wajinga humu?
Hao uliowataja hapo mwishoni bado utawataja sana mpaka akili zikukae sawa! Ama kweli adui muombee njaa na njaa haina ukamanda. Lissu akiwa anaitukana serikali huwa na sauti Kali kuliko speakers za Bose au JBL...sasa katandikwa njaa kawa mpole kama mtoto mchanga. Na bado akijikuta peke yake ndiyo atajua makamanda ni wa karatasi tu
Wasiwape msaada waharifu lakini wawasaidie wahitaji kama yeye ...Makubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI.
Pathetic!!!!!
ITAKUA UNAONGELEA DUNIA YA VILAZA aina za kina BASHITEIndeed
Pure Americans
Hawakwambii ukweli wanakuacha tu mpaka hapo utakapo jitafakari mwenyewe alafu uwachie ngazi
Hivi hivi itakuwa mambo ya:
Sorry come tomorrow
Sorry the boss is out for lunch
Sorry boss is sick
Sorry we are all in summer holidays
Sorry.......on and on and on
Na lissu ndio yuko kwenye hilo wheel
Mpaka atakapo gundua ‘akufukuzaye hakwambii toka ‘
UKWELI NI KUWA DUNIA NZIMA INAMLAANI TUNDU LISSU
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe kwa Lissu...njaa haina ukamanda. Arudi tu home[/QUOTE
MAGAMBA MMEGARAGAZWA MPA KA MMEFUKUZA BALOZI ALAFU BADO MNAONGEA UPUUZI?
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.
Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!
Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu
Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo wewe ulikuwa unajua anaishi kwenye nyumba yake ya kujenga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dk Mary Machuche Mwanjelwa alivyoiba mkufu Belgium alijitia aibu mwenyewe???naam. lisu anatutia aibu kama taifa.mbunge mzima ombaomba kama wale wa uvungo
kiduku kikubwa huku anaomba jero
Waethiopia ndio wenye midege na Dam kubwa zaidi Afrika ..train za umeme...ila kila siku wanakimbia kwao....Kwamba kupitia maneno yake kuna miradi ya taifa inakwama? Ulinzi umetetereka? Mapato hayakusanywi? Wananchi hawachapi kazi? Ndio kwaaanzaa serikali iko busy na miradi mikubwa kwa maendeleo safi ya watanzania. Nyinyi endeleeni kupigia chapuo ushoga na wizi wa mabeberu na hatutakubali kuwaacha hivi hivi lazima muwajibishwe kisheria kama mwenyekiti sugu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waethiopia ndio wenye midege na Dam kubwa zaidi Afrika ..train za umeme...ila kila siku wanakimbia kwao....
Una akili timamu kweli wewe?Msikilize anatumia hali yake kutapeli - sikiliza mpangilio wake wa kitapeli wajinga ndio waliwao! Nilijua kuwa itaishia hivyo kutapeli.