Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa

Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app

Una akili ndogo sana. Nani kakuambia ameomba kuchangiwa kwa siri mpaka unadai kuwa amenaswa. Kama mmezuia gharama za matibabu ambazo ni haki yake, mmezuia mshahara na stahili zake zingine, kuna ajabu gani kuomba kusaidiwa? Au kama ambavyo hamna akili, hata hili la kuomba kuchangiwa na wazalendo wa kweli wa taifa hili, nalo lineanza kuwakera? Kwa taarifa yako atachangiwa na atapata fedha nyingi kuliko zile mnazo msimanga nazo..na mkumbuke karma ni hapa hapa!
 
Kwani hakuna watu wa mataifa yenye uchumi mkubwa wanaondoka kwao na kwenda kutafuta maisha sehemu nyingine kama Afrika? Mnaweweseka na nini? Nyinyi jipangeni kwanza ikiwezekana mfute hicho chama uchwara muanze upya na image mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
image mpya kwa ajili ya nini wakati hii ya sasa inawafanya mpige watu bunduki? Hovyooo
 
Kwani kuna ajabu gani?Ndugai tulimtibu kwa michango yetu ambazo ni kodi zetu.Tanzania inaomba misaada nje na mpaka sasa bajeti inategemea wafadhili kwa asilimia zaidi ya 45!!

Na hii wala sio kumchafua,watu walianza kumchangia toka akiwa Nairobi.Na yeye amekiri hivyo.Sina itikadi moja na Lissu,lakini nilimchangia kuanzia usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Nairobi na mpaka matibabu.Nitaendelea kumchangia.

Kwangu,utu kwanza na itikadi baadae.Siasa na itikadi vitapita,JPM atamaliza muda wake na ataondoka,lakini utu na thamani ya uhai wa mtu vinadumu milele.Naona hapo juu watu wanamtukania mpaka mkewe,sasa mlitaka asichangiwe wakati hajapewa pesa ya matibabu?Jamani jamani hizi siasa za awamu hii,ni chuki tupuu
Basi nae aelewe kwamba Tanzania ni kubwa zaidi ya JPM, ajue akiomba nchi zitunyime misaada anaeumia sio JPM ni sisi hapa.
 
Nadhani kwa Lissu kuchangiwa huko nje atapata pesa nyingi sana kutoka kwa mashoga.
Mashoga siyo Tatizo kwa Tanzania kwani Mashoga hawajakwapua trilion 1.5 na kuiba mashahara wa Tundu Lisu bali wewe na Ndungai na wenzako ndiyo mmekwapua mapesa yote hayo, sasa nyie wezi na Mashoga wapi wana unafuu.
 
Hahahahaaa kweli Wewe ni Ushuzi Unanuka!!!!!!
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? ID ya JF na ufala wako vina uhusiano gani ? wewe ID yako ni ya kipunguani lakini siwezi kuhangaika nayo, zingatia hoja acha kuleta uwendawazimu wako na kuwachanganya watu.
 
Ushuzi umeutoa halafu unauliza harufu inakotokea? Hahahahaaa
 
Una akili ndogo sana. Nani kakuambia ameomba kuchangiwa kwa siri mpaka unadai kuwa amenaswa. Kama mmezuia gharama za matibabu ambazo ni haki yake, mmezuia mshahara na stahili zake zingine, kuna ajabu gani kuomba kusaidiwa? Au kama ambavyo hamna akili, hata hili la kuomba kuchangiwa na wazalendo wa kweli wa taifa hili, nalo lineanza kuwakera? Kwa taarifa yako atachangiwa na atapata fedha nyingi kuliko zile mnazo msimanga nazo..na mkumbuke karma ni hapa hapa!
Watesi wa CCM wana roho mbaya sana yaani walimpiga Risasi wamemwibia mshahara pesa za matibabu na bado hawataki aombe msaada? Hii tabia ya kuwakomoa Wapinzani kwenye awamu hii ya watesi yalaa ilaaniwe sana.
 
Ushuzi umeutoa halafu unauliza harufu inakotokea? Hahahahaaa
Wewe mbweha ujue unajicholesha kaulize mbulula wenzako wakufundishe kuwa humu JF huwa hatupo busy na ID ndiyo maana ID yako ni ya kitahira lakini hakuna mwenye time nayo wenye Upeo huwa busy na mada hoja za msingi acha ufala wako.
 
Back
Top Bottom