Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Wewe ni zezeta mstaafu au, mikono, miguu, kiuno zote ni sehemu za mwili ata angepigwa risasi 1000 kwa iyo usistuke sana kuskia risasi 16 zilimwingia kikubwa zilimwingia wap? Kiunoni kushuka chini rate ya kusurvive ni kubwa tofauti ingekuwa kiunoni kupanda juu...mahaba yamekuzidia sana wew bavicha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kawaida yangu huwa sitaki kubishana na mijitu mipumbaf kama weye. The Briton men says:''NEVER ARGUE WITH A FOOL AS PEOPLE MAY NOT NOTICE THE DIFFERENCE''. Mimi ni raia Mzalendo na Mtanzania halisi sina chama chochote siko Bavicha wala Uvccm fisi wadogo. Hoja yangu ni KUPINGA KWA NGUVU zote kwa Tundu Lissu kama Ndugu yangu,Mtanzania mwenzangu kupigwa risasi kinyama tena hadharani si HAKI. Baba wa Taifa alitufundisha BINADAMU WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA ......!!
Katika AWAMU hii ya 5 tumeanza kuona viashiria vya ubaguzi na uonevu kwa Binadamu wenzetu tena Watanzania bila aibu kwa itikadi ya vyama...Leo hii Baba wa Taifa akirudi kutoka nchi ya wafu hakika atamlaani Rais Magufuli Pombe John Joseph....!!
 
Lissu hajawahi kuwa mtumwa wa fikra za watala wajinga

Kukubali kuwa mtumwa za fikra za watawala ni kuuza utu, jambo ambalo lissu kwake ni msamiati mgumu

Hao akina Nelson Mandela walikuwa wanaahidiwa mamilioni ya fedha na cheo ili waache harakati za kutetea waafrika wenzao, lakini pesa na vyeo hawakuona thamani yake ikiwa jamii ya watu weusi wenzio wakiwa ktk mateso ya makaburu

Lissu namfananisha na akina Dr Rev. Martin Luther King Jr, Malcolm x na wapigania haki za watu weusi wengine nchini Marekani waliojitoa kwa ajili ya jamii pana ya wamarekani weusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa haina ukamanda. Lissu tayari kasanda
 
Hayo ndio maisha ya mwanaume. Hakuna cha ajabu kwa mpiganaji, labda kama ww unategemea mshahara tu ndio utaona tofauti.
Mpiganaji wa kweli hawezi kuomba msaada kitapeli namna hiyo. Lissu atambue kuwa njaa haina ukamanda
 
Duuuuuuuuuuuuh !!!!!
Ama kweli ! Mtu aliyekuwa anaongea kwa ujeuri na ufedhuli mkubwa takribani siku nne zimepita leo hii anabembeleza achangiwe apate chakula ! Anaongea kwa sauti ya unyonge mpaka mimi mwenyewe natamani kulia.
 
Hivi unadhani yeye na Magu Nani anakosa Amani moyoni? Nani anakosa usingizi kwa dhambi zake?
Yule anayelilia kuombewa daily ndio mwenye kukosa Amani moyoni. Lissu hajawahi kula rushwa wala kuiba trilion za watu that's why anawashirikisha wengine hali yake

Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli adui muombee njaa na njaa haina ukamanda. Lissu akiwa anaitukana serikali huwa na sauti Kali kuliko speakers za Bose au JBL...sasa katandikwa njaa kawa mpole kama mtoto mchanga. Na bado akijikuta peke yake ndiyo atajua makamanda ni wa karatasi tu
 
Maisha ya Ulaya ni magumu kama huna kipato khasa huko Ubelgiji hivyo Tundu Lissu kuomba msaada wa kuchangiwa si jambo la ajabu.

Tukumbuke fedha anazopewa zikifika Ubelgiji zinakuwa ndogo kutokana na kubadilishwa TShillings kuwa Euros.

Hivyo akilipia masuala madogo tu fedha hizo zaisha kama waya.
Arudi tu nyumbani
 
Unajua tofautisheni kudai na Kuomba anapomuwakia Ndugai anawaka moto anapotuomba Watanzania anaongea lugha ya kuomba,mbona yule fala wenu wakati anaomba kura alipiga hadi pushups na bado akaiba vilevile.
Njaa haina ukamanda. Atanyooka tu huyo
 
Duuuuuuuuuuuuh !!!!!
Ama kweli ! Mtu aliyekuwa anaongea kwa ujeuri na ufedhuli mkubwa takribani siku nne zimepita leo hii anabembeleza achangiwe apate chakula ! Anaongea kwa sauti ya unyonge mpaka mimi mwenyewe natamani kulia.

WE BASHITE KWELI, SASA MTU KUOMBA MSAADA NI AJABU?, MA BWEGE MNASHIDA SANA.
 
Back
Top Bottom