Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Wengine hatuhitaji mabishano ya kiitikadi . Tunataka kumchangia Mtanzania mwenzetu!!

Leteni utaratibu tuchange!!
Haya Mkuu wa mkoa amehamasisha michango kwa Lisu.

Hatakwenye matibabu tulichanga kutoka makundi yote wakiwamo CCM na CHADEMA.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We unajua matibu ya ulaya? Gharama zake? Yule nurse tu anae ku care kwa mwezi mshahara wake 2500-3000 eur, kwa mwezi malipo ya hospital si chini ya euro 5000 na miaka mi ngapi sasa?

Hizo pesa alizo lipwa ni debit tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati anapelekwa huko naamini walijua wataweza kuyamudu. CHADEMA wako wapi sasa? Ni haki kweli Mgonjwa kujiombea mwenyewe? Shame!
 
Jamaa anasikitisha na kutia huruma kama vile hana kwao and is a nobody. Mi naishauri serikali hata kama "vipi" imlipe tu huo mshahara 'wake' amalizie hiyo miezi iliobaki. Ikifika 2020 serikali itakua imejivua hili jambo.
 
Chademu imedhihirisha kweli ni genge tu la wapiga domo, mpaka kufikia hali hii inafikirisha sana kwa upande wangu.
 
Kuna mtu amekataa kumtibia tena kwa hela za umma, aisee kweli binadamu wapo wenye roho ngumu.. I can just imagine.. Pole Lissu 2020 tupo na wewe lije jua ije mvua.
 
Back
Top Bottom