Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Mimi nafikiri hayo mashambulizi anayofanya kwa nchi kupitia media za kimataifa kuna mtonyo analipwa na hao mabeberu, kumbe ni njaa tupu, huwezi kushambulia system ya nchi inayokulipa maslahi yako halafu utegemee kuendelea kuenjoy hayo malipo, hili liko wazi kabisa
 
1. Mbunge anapigwa risasi akihudhuria vikao vya Bunge
2. Anapelekwa nje ya nchi akiwa hajijui yaani ni mtu wa kufa 98%
3. Anazinduka hata hajui yupo wapi
4. Baada ya wiki kadhaa anaanza kusema uchunguzi ufanyike
5. Baada ya miezi kadhaa hoja ya malipo yake yanaidhiniswa na Waziri wa afya, anasema Mbunge atatibiwa tu na Serikali
6. Hakuna mwana CCM yeyote anajitokeza kumjulia hali hospital
7. Hakuna Government formal statement toka kwa mkuu wa nchi cha kulaani na kumpa pole wala simu ukizingatia mhanga ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Tz,
8. Barua inapelekwa kwake cc familia kwamba hatatibiwa na hela ya umma sababu hakufuata utaratibu, vileve Mkuu wa nchi hajaidhinisha.
9. Upepelezi utafanyika, Mhanga na dereva wake wajiandae kuhojiwa huko waliko
10... Lissu arudi Tanzania apambane na hali yake...

endelea nina uchungu sana .....
 
Kuomba michango ya matibabu ni sawa na wabongo tumezoea ivo lakin sio kuomba michango ya ada za watoto na kodi au chakula....huo ukamanda wa wapi
Adui wa Lissu siyo sisi wananchi ila ni kundi dogo la watawala ambao alishasema atanyamaza akiwa kaburini

Angesanda kwa muuaji wake hapo ningekuelewa, ila kwa kuwa anaomba michango kwa wananchi wenye kujali utu wa mwanadamu sioni tatizo labisa

Na kama tatizo lingeanzia kwenye kuomba michango ya matibabu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto pia alisema watu 100 wameuawa kigoma na polisi akadai na ushahid anao wa majina na ndugu za waliokufa..hivi aliishia wapi na ushahidi wake. Au kiki ilibackfire.
Aya ebu tutajie ata 50 tu tuwajue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Km ulikosa baraka za wazazi uyo lisu labda akupe baraka za kunyoa kiduku
Utaratibu wa kumchangia Mh, LISSU upoje kwa sisi wa Scandinavian kwa mfano. Kamanda hatokufa njaa na hatolala nje na watoto watasoma.Tutabeba mabox tutakata vitunguu, tutasafisha vyoo na tutalea wazee mpaka kieleweke.
Hivi Mh Lissu atakuja kututembelea huku na sie tupate baraka zake.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan kakwambia wote tunaamini katika hayo unayoyaamini wew
Bora anayeomba msaada kuliko angeiba.Kuomba ni UUNGU hata ukitaka kuongea na Mungu unamwomba sio unashupaza shingo.Kuna watu wanashupaza shingo kwa sababu tu sasa wanazo .Kila kitu kina wakati wake.Soma muhubiri 3:1-8 kila kitu kina majira yake.Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko tayari kumchangia Lissu, Chadema tunaomba utaratibu
Nyie ndio mnaendelea kumponza na kumpoteza kamanda msaliti. Unadhani utamchangia na kumtunza pamoja na familia take mpaka lini? Kuna watu wangapi wanaoweza kumchangia na kumtunza kwa muda mrefu? Huo uchangiaji wenu siyo sustainable, mnampotosha aendelee kujiharibia bure.
 
Mimi nafikiri hayo mashambulizi anayofanya kwa nchi kupitia media za kimataifa kuna mtonyo analipwa na hao mabeberu, kumbe ni njaa tupu, huwezi kushambulia system ya nchi inayokulipa maslahi yako halafu utegemee kuendelea kuenjoy hayo malipo, hili liko wazi kabisa

Tatizo lisu ni msahaulifu sana kuna clip upo humu anasema sisi ni maskini tunahitaji msaaada na hakuna maskini jeuri , sasa ghafla na yeye ameufuata nilidhani kweli yeye ni maskini jeuri kumbe tia maji tia maji
 
Adui wa Lissu siyo sisi wananchi ila ni kundi dogo la watawala ambao alishasema atanyamaza akiwa kaburini

Angesanda kwa muuaji wake hapo ningekuelewa, ila kwa kuwa anaomba michango kwa wananchi wenye kujali utu wa mwanadamu sioni tatizo labisa

Na kama tatizo lingeanzia kwenye kuomba michango ya matibabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa haina ukamanda. Lissu kawa mpooolee
 
Hizo hela za nauli anazozungukia huko Marekani, Uingereza na Ujerumani kwanini asizisave zimsaidie badala ya kulialia kuomba msaada?
Watu watachanga na mwisho watachoka
BTW:, Si juzi tu ndio tumeambiwa amelipwa malimbikizo yake karibu milion 200 na kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri hayo mashambulizi anayofanya kwa nchi kupitia media za kimataifa kuna mtonyo analipwa na hao mabeberu, kumbe ni njaa tupu, huwezi kushambulia system ya nchi inayokulipa maslahi yako halafu utegemee kuendelea kuenjoy hayo malipo, hili liko wazi kabisa
System kama walijua watashambuliwa ilikuaje mkampiga Risasi? mnawaita mabeberu pindi wakihoji udikteta wenu lakini wakiwa wanawapa misaada huwa munawaita wafadhili huu unafiki wa kula 40% za Bajeti toka kwa wazungu mkishiba mnawaita mabeberu mtaacha lini?
 
Back
Top Bottom