Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Kwamba kupitia maneno yake kuna miradi ya taifa inakwama? Ulinzi umetetereka? Mapato hayakusanywi? Wananchi hawachapi kazi? Ndio kwaaanzaa serikali iko busy na miradi mikubwa kwa maendeleo safi ya watanzania. Nyinyi endeleeni kupigia chapuo ushoga na wizi wa mabeberu na hatutakubali kuwaacha hivi hivi lazima muwajibishwe kisheria kama mwenyekiti sugu.
Kwa Lissu shetani kashindwa na hiyo ndiyo sababu ya mateso haya mnayoyapitia, mashetani wakubwa. Mliyoyapanga gizani Mungu kayapangua na ndio sababu mnapayuka hovyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.

Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!

Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu

Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.




Sent using Jamii Forums mobile app


Serikali ya Magufuli italipa huu udhalimu hapa duniani na ahera.
 
Kwani kuna ajabu gani?Ndugai tulimtibu kwa michango yetu ambazo ni kodi zetu.Tanzania inaomba misaada nje na mpaka sasa bajeti inategemea wafadhili kwa asilimia zaidi ya 45!!

Na hii wala sio kumchafua,watu walianza kumchangia toka akiwa Nairobi.Na yeye amekiri hivyo.Sina itikadi moja na Lissu,lakini nilimchangia kuanzia usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Nairobi na mpaka matibabu.Nitaendelea kumchangia.

Kwangu,utu kwanza na itikadi baadae.Siasa na itikadi vitapita,JPM atamaliza muda wake na ataondoka,lakini utu na thamani ya uhai wa mtu vinadumu milele.Naona hapo juu watu wanamtukania mpaka mkewe,sasa mlitaka asichangiwe wakati hajapewa pesa ya matibabu?Jamani jamani hizi siasa za awamu hii,ni chuki tupuu
 
Makubwa haya huyu Lissu anawataka Wafadhili wasitupe misaada wakati huo huo na yeye anaomba Msaada? Hii ni tabia ya UBINAFSI.
Pathetic!!!!!

Umeona ehh
Huyu Tundu Lissu fuse iko damaged kwa kweli
Alitegemea misaada ya wadhungu
Sasa wame mpiga chini baada ya kugundua jitu ni tapeli kweli kweli
Na bado LAANA YA AFRICA NA TANZANIA ITAMMALIZA YEYE NA KIZAZI CHAKE MPAKA CHA NNE
TENA HADHARANI ILI WATU WAPATE FUNDISHO KUWA NCHI YETU TANZANIA SIO MCHEZO MCHEZO
SPECTACULAR FAILURE HUYU TUNDU LISSU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa



Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app


Kiburi cha masikini ni kaburini fasta


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.

Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!

Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu

Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.




Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu ameanza kuwa mnafiki Katika hotuba zake. Mambo Mengi kazungumza kisiasa zaidi akifikiri watz ni wajinga. Ivi Chadema wanamsaidiaje akisitishiwa mshahara. Ilhali Wana Ruzuku kubwa ya serikali. Na ofisi Yao ipo kama ofisi ya mtendaji wa kijiji. Au Ruzuku ni Mali ya mwenyekiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh.. Lissu kumbe kiboko.. anacheza na akili za wafuasi wafata mikumbo.. eeeeh mtajiju
Hivi huko kaenda kufanya nini?.. pesa hakujua wanae wanaenda shule.. utapeli na uongo nje nje.. uwiiii makubwa..
 
Tumsaidie TL anapitia kipindi kigumu. Matibabu ni gharama kubwa, malazi, na mambo mengine. Hakupenda hili litokee tuache kejeli zisizo n maana, hujuikesho lipi litakufika. Tumshukuru mungu kumpa nafasi nyingine y kuishi, atizame familia yake nakuendelea kulitumikia Taifa lake.
 
AMELIPIGANIA TAIFA.TUTAMPIGANIA NA YEYE.MNASITISHA MSHAHARA WAKE.MMESUSIA MATIBABU YAKE.MNAFIKIRI YEYE NI BENKI.KAMA WAZEE WA DARESSALAAM MIAKA YA 50 WALIVYOMBEBA NYERERE.NA SISI TUTAKUBEBA LISSU.

CHADEMA WEKENI UTARATIBU TUMSAPOTI MPIGANAJI WETU.

Ondoa uwongo wako hapa
JIFUNZE KATIKA MAISHA HAYA USIUKATE MKONO UNAO KULISHA HATA MARA MMOJA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumsaidie TL anapitia kipindi kigumu. Matibabu ni gharama kubwa, malazi, na mambo mengine. Hakupenda hili litokee tuache kejeli zisizo n maana, hujuikesho lipi litakufika. Tumshukuru mungu kumpa nafasi nyingine y kuishi, atizame familia yake nakuendelea kulitumikia Taifa lake.

Hamna lolote Tundu Lissu lazima a respect nchi yetu Tanzania maana ndio iliyo kuwa inampa kula, sasa ameisaliti, acha laana zimshukie kama mvua ya mawe walahi
In ISIS VOICE


Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom