Tundu Lissu akiomba misaada Marekani

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
713
1,000
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.

Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!

Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu

Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.Sent using Jamii Forums mobile app
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,529
2,000

Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,290
2,000
amepewa 250 mil.matibabu ya msaada bure.malazi bure.usafiri bure ila bado anaombaomba
We unajua matibu ya ulaya? Gharama zake? Yule nurse tu anae ku care kwa mwezi mshahara wake 2500-3000 eur, kwa mwezi malipo ya hospital si chini ya euro 5000 na miaka mi ngapi sasa?

Hizo pesa alizo lipwa ni debit tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,529
2,000
Aibu sana hii na pia video baada ya kuvuja amejisikia vibaya sana kwa taarifa za mtu wa Karibu na hapa ndo ajue sio wote wanaompigia makofi manake wanampenda

Pole sana kwa njaa na huenda ukalala Nje kwa kufukuzwa kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siku wasanii wakiomba msaada wewe ndiyo wakwanza kutoa Yanga inaomba ichangiwe na yenyewe ni aibu?
Ninyi kuzuia mshahara wake ndiyo mnampiga chura mateke Lissu ataaaidiwa kwa hali na mali maana mlitaka afe
Hakuna mtu omba omba kama mwenyekiti wenu miaka 3 tuu deni zaidi ya 20tr wakati anaomba kura alisema nchi tajiri hataomba
MSAGA SUMU
USSR
LIKUD
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
7,278
2,000
Hata Nyerere alipewa nyumba na wazee wa Dar es salaam.

Alikuwa akipewa hadi hela ya kujikimu na wazee wa Dar es salaam baada ya kuacha kazi ya ualimu kwa kuchagua kwake harakati za ukombozi badala ya kazi ya ualimu.

Aliwezeshwa na wazee hadi uhuru ukapatikana

Kwa hiyo siyo ajabu Lissu kuomba kusaidiwa.

Mbunge kapigwa risasi kazini hajatibiwa na serikali, kisha mwajiri wake bunge akaamua kumnyima mshahara kwa sababu tu ya yeye kuamua kunyooshanyiosha viungo kwa kutembelea nchi mbalimbali zenye hali ya hewa sawa na nchi anayotibiwa!
 
jonas amos

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
2,186
2,000
Siku wasanii wakiomba msaada wewe ndiyo wakwanza kutoa Yanga inaomba ichangiwe na yenyewe ni aibu?
Ninyi kuzuia mshahara wake ndiyo mnampiga chura mateke Lissu ataaaidiwa kwa hali na mali maana mlitaka afe
Hakuna mtu omba omba kama mwenyekiti wenu miaka 3 tuu deni zaidi ya 20tr wakati anaomba kura alisema nchi tajiri hataomba
MSAGA SUMU
USSR
LIKUD
Mwamba relax kias tuliza hasira

nimeumia sana baada ya kuona lisu anaomba msaada kwa watu sasa kwann anakuwa kibur na anajua anashida
hii ni video ambayo imevuja ambapo jamaa amenaswa akiomba msaada na hapo Mi muda mfupi baada ya wao kusitisha live streaming haya sasa

Aache kujitia kibur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Aug 2, 2016
22,912
2,000
Binafsi nimeumia na kujisikia vibaya sana kitendo cha serikali wanachomfanyia Tundu lissu cha kusitisha malipo na mshahara wake.

Mh. Tundu lissu ameingia katika wakati mgumu sana na inasikitisha akiomba sehemu ya kula , kulala na ada kwa ajiri ya watoto wake!

Mungu ibarika Tanzania, mungu mbariki Tundu Lissu

Haya maisha tu! Leo kwake kesho kwako.Sent using Jamii Forums mobile app
Duh, aisee. Kwani da'Mange ameacha kumchangishia michango?
c:c Salary Slip
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom