Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ahusisha kauli ya Rais Magufuli na kupigwa kwake risasi

Kuna uhusiano fulani watu wawili wakiingia chooni. Ni kukosa hoja ya kuzungumzia, anataka aonewe huruma kwa kueleza porojo. Amefilisika hoja.
 
Kwa iyo ni kweli kuwa Magufuli ndiye aliyeamuru Lissu kupigwa risasi????

Nafurahi sana wana CCM mnavyozidi kutupa ushahidi humu!!! Tunaweka rekodi sawa hapa!!
Ha ha ha sasa Bashite yupo Benchi watu waende kumsuta amtaje aliyemtuma kwenda Dodoma na kikundi chake kumpiga risasi Tundu lisu
 
Kuna uhusiano fulani watu wawili wakiingia chooni. Ni kukosa hoja ya kuzungumzia, anataka aonewe huruma kwa kueleza porojo. Amefilisika hoja.
Hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataona hoja ya huruma kwa lisu kwani watanzania wanajua hakujipiga risasi mwenyewe bali wewe na wenzako ndiyo mlimpiga risasi, hoja ya huruma haina mashiko kwa wenye Akili
 
Kumbe huyu binadam aliyetoa Oda ya kummaliza lissu ni yehova ? Ahhaaa Mungu anakuona
Waliompiga risasi Tundu lisu wanaitwa Heri kisanduku na nyaulingo chini ya utaratibu wa Daud Bashite Kwa mujibu wa wapelelezi wa CIA na FBI waliopo ubalozi wa marekani hapo Dsm
 
Lisu kasema alipigwa risasi sababu ya usaliti,

Kama ni kweli hata mimi ningempiga
Kwani wewe hutakufa? Alipigwa risasi kwa kufananishwa na usaliti wa mkapa ambaye aliwaleta wazungu Nchini na wewe ndiyo umemuua mkapa kwani unapenda kuua wasaliti
 
Mkapa kumbe mmemuua wenyewe kwani ndiye aliwaleta wazungu kuja kuchimba madini
 
Huyo mhujumu uchumi mwenyewe waliotuaminisha katuibia hela ambazo kila mtanzania angeweza kununuliwa Noah leo amekuwa mgombewa wenu.Msitufanye wajinga,sisi siyo wajinga.Mlitaka kunyamazisha Lissu ili asiibue uozo wenu.Imekula kwenu,Mungu wa Haki amewaonyesha kwamba huyo hakustahili ku uawa kwa kuwa ALISIMAMIA HAKI NA KWELI.
Amen
 
Tundu Lisu kaadhibiwa na Mungu, some punishment is just, na bado, ...
Mungu wa wapi huyo? au mungu wako Asiyejulikana kwa sababu Mungu wa wote hawezi kutenda kitendo kibaya kama hicho na bado na kama bado ujue wewe ndiyo bado utakumbwa na maswahiba mpaka ujutie dua zako za kishenzi
 
uchaguzi ukiwa HURU na HAKI anapata 45+

ngosha katenda ukatili (visasi) sana awamu ya kwanza, upendeleo wa wazi na zaidi maisha kuwa magumu kwa raia wengi!.
Kila kitu ni chato mpaka wahindi waarabu wamekazimishwa kwenda kujenga Hotel majumba chato
 
Maelezo yake umeyasoma na kuyaelewa?

Lisu amasema Magu alisema mkiwa vitani mnaua askari yeyote msaliti na ndio sababu yeye alipigwa risasi!
.
Je, Lisu alikuwa anasaliti nchi?
Pengine jiwe alimuona msaliti akatoa Amri auawe je? Jiwe ana mamlaka ya kuua watu? Katiba inamruhusu kuwapiga watu Risasi?
 
..Deo Mwanyika anayegombea CCM ndiyo alikuwa mtumishi wa ngazi za juu wa Barrick hapa Tz na baadae Afrika.

na hilo ndio tatizo kubwa kuliko yote ya Mzee wetu yule, kwa maoni yangu: Hana principle. Hawezi kukwambia anachukia kitu fulani halafu akabaki anakisimamia juzi jana leo na kesho kukipinga.

Mwanyika na Lissu alisema wanastahili kufa kwa sababu wanatoa siri za nchi wakati wa vita ya kiuchumi. Leo miaka mitatu baada ya kukaa jela unamteua awe mbunge wenu!
 
Back
Top Bottom