Ndio Mtajua.EU siku zote walikuwa wapi?...
Ndio Mtajua.EU siku zote walikuwa wapi?...
Kwa mujibu wa Ile hotuba ya EU inaonekana Kumekuwa na majibizano ya muda mrefu kati ya EU na Tanzania kimya kimya.CCM ni nguli wa kununua watu, miye hata hilo ninafikiri inawezekana kabisa ndiyo maana mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya amesema wataalamu hao wa EESA wasipokuja na ripoti isiyotia shaka atawalima barua kwa mara nyingine.
Ni Lissu Pekee akiyebaki Nchi nzima bila kuogopa Consequences akatushauri tulikatae Dikiteta uchwara on Broad day lightsHuyu ndiye mwanaharakati wangu wa miaka 6 iliyopita tena tukiwa kwenye GIZA TOTORO TL alisimama akaliita DICTATOR UCHWARA bila kuogopa japo liliagiza akauliwe mwisho limekufa lenyewe
Kwa mujibu wa Ile hotuba ya EU inaonekana Kumekuwa na majibizano ya muda mrefu kati ya EU na Tanzania kimya kimya.
Arudi nyumbani sasa!
Kumenoga!
Mungu wabariki wazunguHasa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia na kuwateua wanadiplomasia nguli kaliba ya Dr. Liberata Mulamula Liberata Mulamula na Dr. Stergomena Lawrence Tax H.E. Dr. Stergomena TAX | EU-Africa Business Forum wale wataalamu wa EEAS walipolimwa barua waliwafikia nguli hawa Oktoba 29 2021 na waliweza kwenda kumkabili Mh. Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa picha kubwa ya mwamo wa kiuchumi, kidiplomasia na hali ya hewa ya kisiasa nchini (political stability) ikiwa serikali ya CCM Mpya itaendekeza siasa za kidhalimu za kihafidhina dhidi ya raia wake waTanzania
https://eeas.europa.eu › delegations
joint communique: political dialogue between the united republic of ...
Dar es Salaam, 30/10/2021 - 14:10, UNIQUE ID: 211030_2 ... Director for Africa at the European External Action Service (EEAS) of the European
Samia ni ineptSamia punguza speed Mama, utawaua hawa SUKUMA gang kwa Sononi, Kifafa, Kifaduro na Pressure mapema sana! Punguza speed ya kupindua Meza za hawa majambazi waliojivika uzalendo fake, waliojipa uTZ namba moja na kuwaona watu wengine wote mavi.
Kila kitu kitajulikana kwa wakati wake, tuwe wavumilivu tu. Hamna Makonda atakwepa kunywe kikombe anachonywea Sabaya..ni muhimu sasa aliyeondoa walinzi wa area D na kupelekea magaidi kumshindilia TL marisasi akamatwe ili asaidie uchunguzi.
..pia serikali ikubali kushirikisha WACHUNGUZI TOKA NJE ili kuwabaini waliohusika kupanga na kumshambulia TL.
Hili tunalipongezxa, lakini bado sana pale tunapopahitaji!Hii ni habari iliyoandikwa na gazeti la MWANANCHI la leo.
Wakati ni habari iliyotarajiwa ifurike maoni mitandaoni kinyume chake ni kama vile haipo kabisa.
Hata mimi humu nimei post mara ya kwanza ikafutwa na sijui kama hii mara ya pili haitafutwa.
View attachment 2036038
Kila kitu kitajulikana kwa wakati wake, tuwe wavumilivu tu. Hamna Makonda atakwepa kunywe kikombe anachonywea Sabaya
Na kesi ya Sabaya je?..Thubutu!!
..kama Makonda atashtakiwa sababu itakuwa ni mambo mabaya aliyowafanyia wana-ccm wenzake ambao nao wamepata nafasi ya kumlipizia.
..haijawahi kutokea, na haitatokea, mwana-ccm, polisi, hakimu, usalama, kuadhibiwa kwasababu amewaumiza, au kuwadhulumu wapinzani.
Na kesi ya Sabaya je?
Ile faini ilitenguliwa kufuatia rufaa walioyokata mahakama kuu na wala hakuna cha mama hapo. Jaribuni kuacha kutoa sifa za kijinga jinga kama hizo. Jaribu kuwa Objective.Tatizo la viongozi wa chadema. wanataka kumfanya mama kama mtoto. Mama hana time nao na mengi tu amewasaidia, kuwatoa lockup viongozi wao na ictoshe ilee faini walipigwa enzi za magu mama amewarudishia, pamoja na hayo yote n still wanamchokonoa.
Katiba wengi tunaitaka lakini iombwe kwa kufuata taratibu na siyo kutumia nguvu.
Haina ukubwa wowote, walimpiga risasi na wakamate waliompiga risasi , na wamlipe mafao yake na matibabu. Ndio itakua habari.Hii habari naona ni kubwa lakini inapita kimya kimya.