Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

CCM ni nguli wa kununua watu, miye hata hilo ninafikiri inawezekana kabisa ndiyo maana mwenyekiti wa kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya amesema wataalamu hao wa EESA wasipokuja na ripoti isiyotia shaka atawalima barua kwa mara nyingine.
Kwa mujibu wa Ile hotuba ya EU inaonekana Kumekuwa na majibizano ya muda mrefu kati ya EU na Tanzania kimya kimya.
 
Kwa mujibu wa Ile hotuba ya EU inaonekana Kumekuwa na majibizano ya muda mrefu kati ya EU na Tanzania kimya kimya.

Hasa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia na kuwateua wanadiplomasia nguli kaliba ya Dr. Liberata Mulamula Liberata Mulamula na Dr. Stergomena Lawrence Tax H.E. Dr. Stergomena TAX | EU-Africa Business Forum na wale wataalamu wa EEAS walipolimwa barua waliwafikia nguli hawa Oktoba 29 2021 na wazawa hawa waliweza kwenda kumkabili Mh. Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa picha kubwa ya uwezekano wa mkwamo wa kiuchumi, vikwazo vya kidiplomasia pia uchumi na hali ya hewa ya kisiasa nchini kutibuka (political stability) ikiwa serikali ya CCM Mpya itaendekeza siasa za kibaguzi, udhalimu na ukandamizaji wa kihafidhina dhidi ya raia wake waTanzania

https://eeas.europa.eu › delegations
joint communique: political dialogue between the united republic of ...

Dar es Salaam, 30/10/2021 - 14:10, UNIQUE ID: 211030_2 ... Director for Africa at the European External Action Service (EEAS) of the European ...

The Political Dialogue between the United Republic of Tanzania and the European Union was held on October 29, 2021, at Julius Nyerere International Conference Centre in Dar es Salaam.

The Dialogue was co-chaired by Hon. Amb. Liberata Mulamula (MP), Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation and Ambassador Rita Laranjinha, the Managing Director for Africa at the European External Action Service (EEAS) of the European Union, and attended by Ministers and Senior Officials of the Government of the United Republic of Tanzania, Ambassadors of the European Union of Belgium, the Czech Republic, Denmark, Finland, France, Germany Ireland, Italy, The Netherlands, Poland, Spain and Sweden....
 
Hasa Rais Samia Suluhu Hassan alipoingia na kuwateua wanadiplomasia nguli kaliba ya Dr. Liberata Mulamula Liberata Mulamula na Dr. Stergomena Lawrence Tax H.E. Dr. Stergomena TAX | EU-Africa Business Forum wale wataalamu wa EEAS walipolimwa barua waliwafikia nguli hawa Oktoba 29 2021 na waliweza kwenda kumkabili Mh. Rais Samia Suluhu Hassan na kumpa picha kubwa ya mwamo wa kiuchumi, kidiplomasia na hali ya hewa ya kisiasa nchini (political stability) ikiwa serikali ya CCM Mpya itaendekeza siasa za kidhalimu za kihafidhina dhidi ya raia wake waTanzania

https://eeas.europa.eu › delegations
joint communique: political dialogue between the united republic of ...

Dar es Salaam, 30/10/2021 - 14:10, UNIQUE ID: 211030_2 ... Director for Africa at the European External Action Service (EEAS) of the European
Mungu wabariki wazungu
 
Samia punguza speed Mama, utawaua hawa SUKUMA gang kwa Sononi, Kifafa, Kifaduro na Pressure mapema sana! Punguza speed ya kupindua Meza za hawa majambazi waliojivika uzalendo fake, waliojipa uTZ namba moja na kuwaona watu wengine wote mavi.
Samia ni inept
 
..ni muhimu sasa aliyeondoa walinzi wa area D na kupelekea magaidi kumshindilia TL marisasi akamatwe ili asaidie uchunguzi.

..pia serikali ikubali kushirikisha WACHUNGUZI TOKA NJE ili kuwabaini waliohusika kupanga na kumshambulia TL.
Kila kitu kitajulikana kwa wakati wake, tuwe wavumilivu tu. Hamna Makonda atakwepa kunywe kikombe anachonywea Sabaya
 
Ningefurahi zaidi Kama ningesikia wameanza uchunguzi dhidi ya waliotaka kumuua.
Ila duniani Kama Mungu hajapenda utajihangaisha bure.
Risasi zote zile jamaa tunae. Wengine Wamezungukwa na fence ndefu, mbwa wakali, walinzi Mia Tena wenye silaha za Moto lkn kifo kinapenya mageti, mbwa, walinzi mpaka madaktari bingwa kirahisi tu kinakuja kuchomoa roho ya mtu.
 
Kila kitu kitajulikana kwa wakati wake, tuwe wavumilivu tu. Hamna Makonda atakwepa kunywe kikombe anachonywea Sabaya

..Thubutu!!

..kama Makonda atashtakiwa sababu itakuwa ni mambo mabaya aliyowafanyia wana-ccm wenzake ambao nao wamepata nafasi ya kumlipizia.

..haijawahi kutokea, na haitatokea, mwana-ccm, polisi, hakimu, usalama, kuadhibiwa kwasababu amewaumiza, au kuwadhulumu wapinzani.
 
..Thubutu!!

..kama Makonda atashtakiwa sababu itakuwa ni mambo mabaya aliyowafanyia wana-ccm wenzake ambao nao wamepata nafasi ya kumlipizia.

..haijawahi kutokea, na haitatokea, mwana-ccm, polisi, hakimu, usalama, kuadhibiwa kwasababu amewaumiza, au kuwadhulumu wapinzani.
Na kesi ya Sabaya je?
 
Tatizo la viongozi wa chadema. wanataka kumfanya mama kama mtoto. Mama hana time nao na mengi tu amewasaidia, kuwatoa lockup viongozi wao na ictoshe ilee faini walipigwa enzi za magu mama amewarudishia, pamoja na hayo yote n still wanamchokonoa.

Katiba wengi tunaitaka lakini iombwe kwa kufuata taratibu na siyo kutumia nguvu.
Ile faini ilitenguliwa kufuatia rufaa walioyokata mahakama kuu na wala hakuna cha mama hapo. Jaribuni kuacha kutoa sifa za kijinga jinga kama hizo. Jaribu kuwa Objective.
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom