Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi

Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Alipwe stahiki zake zote:

1) Gharama za matibabu
2) mushahara yake ya ubunge aliyodhurumiwe na Ndugai
3) Mafao yake ya kumaliza muhula wa ubunge uliokatishwa na yule mnafiki Ndugai

Pia ahakikishiwe usalama, na uchunguze wa waliomshambulia uanze kwa kuhusisha taasisi za kimataifa.
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Kwa maisha yake ulikuwa una mwendeshea wewe.
Mataga bhana kujifanya mna maisha bora!!!
Kwakuwa hatufahamiani kwa kuonana,bila shaka tungekuona uvaa T-shirt ya kijani ulopewa 2015/na kofia

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Siyo rahisi Tundu Lisu kurudi nchini! Huku hatakuwa na uhalali wa kula bure na kulala bure kama huko ugaibuni ambako anakula kuku kwa mrija kwa gia ya ukimbizi wa kisiasa!!
Umeandika kama vile unatamani na wewe kula na kulala bure. Basi pia kubali risasi 30 tukuombee ukimbizi mkuu
 
Back
Top Bottom