Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 71,950
- 129,121
Ni kweli ila sio kwa wingi wa kura bali kwa matakwa ya ile kamati ya kina Mkapa.
Makamongo yanajua kingereza kweli?Natabiri makamongo kumiminika kwenye uzi huu na kuanzisha nyuzi nyingi kutokana na uzi huu. Natabiri kutokueleweka kwa maelezo haya
Kwa mara ya kwanza na mimi nawahi siti. Siyo mbaya kujikumbusha utotoni mara moja moja.
😂😂😂😂😂😂Kazi imeanza , usikute wakaona umuhimu wa kumjibu wakaacha kujibu hoja za CAG
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kabla Lissu hajapigwa risasi walikuwa wanaishije?.Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Shukrani sana mkuu
Kuna watu watakufa...Dah! Spika atazidi kuwa Dhaifu kifkra, huku CAG kule Berlin part 2......
Sent using Jamii Forums mobile app
alafu badae unasikia wameshindwa kesi kwa aibuNaskia anarudi tz,,,,,,
atakutana na wafanyakazi wa kisutu wanamsubiria airport nadhani.