Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Kamongo mkubwa wewe!Hawa wabunge waliopo wamefanya lipi la.maana zaidi ya kuisafisha serikali thidi ya ripoti ya CAG?
Unamshushua bure mwenzio. Hapo kajitutumua sana kuonyesha anavyojua kazi zinazomhusu Mh. Lissu kama mbunge; lakini wakati huo huo hakumbuki kwamba kazi hizo hizo zinatakiwa zifanywe na wabunge walio wengi toka CCM.

Hawezi kurejea hapa na akatueleza waliyofanya hawa wabunge wa CCM huko majimboni kwao, ambayo Mh. Lissu hajayafanya?
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije

Jitahidi Kidogo kujiongeza
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] utafika tuu.
Achana na comments za kishabiki
 
This time around mtakuwa makini kwenye shabaha? Wale wote wanaesema na kusisitiza eti Lissu arudi kutumikia wananchi wake wa Singida nia yao na madhumuni ni kumuua,muda huu watahakikisha hawarudii makosa kama yale ya mara ya kwanza.
Umewahi kujiuliza kwa nini wale wanaomuunga mkono wengi wao hawataki arudi kwa sasa? wanajua ya kuwa mazingira yaliyopo Tz kwa sasa si salama kwake,hizo nyimbo zimebaki tu kwa wale wenye nia mbaya dhidi yake.
Faida ya pili ya yeye kuendelea kubaki ughaibuni mbali na hii ya kwanza ya usalama wake ni ule uhuru wa kusema mawazo yake bila kuwa harassed na polisi na watu wa kitengo, ujumbe kuifikia dunia kwa haraka kwani hakuna chombo kinachoogopa kufungiwa kwa kumuhoji au kuandika alichozungumza.
Kwa sasa ni bora na salama kwa yeye kuendelea kubaki huko huko ughaibuni.
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
 
Unadhani ukijigamba kwamba uko nje ndio tutakuona wa maana? Kama wewe uko nje unamshauri yeye arudi ili iweje? Ww kaa uuze sura huko na ukikosa mabasha ujilaumu mwenyewe.
Anaboa sana ndugu yenu kama kumsikia wameshamsikia akae kimya sasa kuongea sana si tija arudi home tu.
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Nonsense. Lissu hakusanyi kodi Singida kawaambie wanaokusanya kodi.
 
Back
Top Bottom