Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Kuna dada mmoja nilikutana nae mwaka Jana Minneapolis Minnesota anafanya kazi ya house girl kwa mzungu na jamaa mwingine nimekutana nae Union station Washington mwenzi wa pili mwaka huu anafanya kazi ya kupakia na kupakia mizingo kwenye mabasi ya Washington New York.Kama wewe uko nje,kwa akili hizi you should be one of the two.
Ndiyo kazi zilizobaki kama akina Kasesera wako bize kuzindua viwanda Vya Dildo badala ya vile Vya bidhaa zinazoweza kuwafanya vijana wajiajiri. Kilangila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani ukijigamba kwamba uko nje ndio tutakuona wa maana? Kama wewe uko nje unamshauri yeye arudi ili iweje? Ww kaa uuze sura huko na ukikosa mabasha ujilaumu mwenyewe.
Mwambie Siku hizi kuna kiwanda cha Dildo huku, Mh Kasesera amekizindua rasmi. Aje achangamkie bidhaa. Kilangila.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekucha tena sijui kama Jiwe na makamongo watalala tena usingizi kuanzia leo .
 
Lissu kaanza tena ,Jiwe usingizi ndio basi tena maskini ni kusoma mafaili yaliyopo kitandani mpaka asubuhi .
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Kama msingelimpiga risasi angelitumia muda huu kwenye jumbo lake
 
Back
Top Bottom