Ipo na ndio maana wanawaibulia kashfa za ufisadi unaofanywa na wanaccm huku wakilindwa na ccm!Hivi chadema wana slogan ya taifa kwanza?
Ipo na ndio maana wanawaibulia kashfa za ufisadi unaofanywa na wanaccm huku wakilindwa na ccm!Hivi chadema wana slogan ya taifa kwanza?
Waliopanga kumuua Lissu walibugi sanakwa Ambao Hamna Mbs hiyo habari inahusu Ni mkutano wa lissu
uliofanyika german 12/4/2019
katika ukumbi wa African Haus (Berlin)
mheshimiwa lissu alikuwa anaongea na. ma diaspora na baadhi ya wadau wa maendeleoa ambapo alikuwa anaeleza tukio lake la kupigwa shaba na pia alifanikiwa kuelezea Hali HALISI ya kisiasa na uchumi inayoendelea nchini Tanzania.
mkutano wake ulichukua takribani lisaa 1 na 30+
Jina maarufu la mkutano wake ulikuwa unakwenda kwa Jina la
16 Bullets survival
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm sitegemei mbunge aiseeee aniteee mm nategemea nafs yangu that's y muda mwing siko bongo land nawaaambia nyie mliopo tz mshaurin mwenzenu arud jimboni kwake sio kukaaa ulaya tu huko tumeshajaaa ngozi nyeusi teyar
Huyo anayekusanya kodi anashindwa nini kutatua matatizo ya wanaSingida?Kod zinakusanywa kama kawaida tu mbona
Kikristu changu cha kuungaunga najitahidi kusikiliza nakutana na milio ya stil picture kibaao hadi mzuka unapotea
Wewe sema tuna wabunge wachumia tumbo na ambao hawajui wanafanya nini? Ujinga huu ndo umeifanya nchi hii iwe masikini.I hate ccmSisiemu wanafanya ambacho chadema wangefanya.
Blame yhe game not the player. Inawezekana vipi chama x kiunde serikali alafu kisiitete serikali ambayo nibya chama hicho? Kibaya zaidi, wakokaa kimya upinzani wanawaponda?
Kuna dada mmoja nilikutana nae mwaka Jana Minneapolis Minnesota anafanya kazi ya house girl kwa mzungu na jamaa mwingine nimekutana nae Union station Washington mwenzi wa pili mwaka huu anafanya kazi ya kupakia na kupakia mizingo kwenye mabasi ya Washington New York.Kama wewe uko nje,kwa akili hizi you should be one of the two.Mm sitegemei mbunge aiseeee aniteee mm nategemea nafs yangu that's y muda mwing siko bongo land nawaaambia nyie mliopo tz mshaurin mwenzenu arud jimboni kwake sio kukaaa ulaya tu huko tumeshajaaa ngozi nyeusi teyar
Mkuu tuendelee kuamini mjinga ana akili na maarifa, otherwise tutaanza kutafutana kwenye mitaro.Toka 92 mwerevu hajajua jinsi ya kudili na mjinga mwenye silaha? Hapa nafikiri mjinga ndiye mwenye akili na maarifa.
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Arudi Bongo amsaidie nani? Umeshaona kuna mtu anasema arudi ? Acha kutusemea jisemee nafsi yakoMm sitegemei mbunge aiseeee aniteee mm nategemea nafs yangu that's y muda mwing siko bongo land nawaaambia nyie mliopo tz mshaurin mwenzenu arud jimboni kwake sio kukaaa ulaya tu huko tumeshajaaa ngozi nyeusi teyar
Angekufa pale Dodoma wananchi wa Singida tungeishi vipi. Acha ubaya usemwe, kama umehusika tubu tuKwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Hata Ally Bashir aliona Kama ndotoNitatoka huku niliko had tz kwa miguuu
Mmmmh
Lissu anakusanya kodi???Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Mm sitegemei mbunge aiseeee aniteee mm nategemea nafs yangu that's y muda mwing siko bongo land nawaaambia nyie mliopo tz mshaurin mwenzenu arud jimboni kwake sio kukaaa ulaya tu huko tumeshajaaa ngozi nyeusi teyar
Lissu hafanyi debate na takatakaTunaomba debate na Balozi wa Tz huko Germany