Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Tundu Lissu - Afrobiz Germany, berlin

Kwa mara ya kwanza na mimi nawahi siti. Siyo mbaya kujikumbusha utotoni mara moja moja.
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
 
Hakuna ninachoweza kusema bali sentensi hii:
" The problem of the evil" Mimi nimecopy tu hii kauli sehemu
Kwanini mambo yote ambayo binadamu huona mabaya uhusishwa na shetani?

Mara nyingine hizi dini ndio zimetengeneza haya ndio maana watu hujificha nyuma ya mimbari makanisani kutaka kukwepa nukuu yangu

The lucifer effect ni tatizo kubwa sana kwenye jamii

Watu hutumika huku wafanyao wakihubiri makanisani
 
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.

Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Kamongo mkubwa wewe!Hawa wabunge waliopo wamefanya lipi la.maana zaidi ya kuisafisha serikali thidi ya ripoti ya CAG?
 
kwa Ambao Hamna Mbs hiyo habari inahusu Ni mkutano wa lissu
uliofanyika german 12/4/2019
katika ukumbi wa African Haus (Berlin)

mheshimiwa lissu alikuwa anaongea na. ma diaspora na baadhi ya wadau wa maendeleoa ambapo alikuwa anaeleza tukio lake la kupigwa shaba na pia alifanikiwa kuelezea Hali HALISI ya kisiasa na uchumi inayoendelea nchini Tanzania.

mkutano wake ulichukua takribani lisaa 1 na 30+

Jina maarufu la mkutano wake ulikuwa unakwenda kwa Jina la

16 Bullets survival

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom