Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,681
- 140,332
Ngoja niweke bundle jingi
Kwanini usimshauri spika kushughulika na jimbo lake??, kuliko kukazana kumshambulia CAG?Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Wasiojulikana hawatamfuata tena akija?Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Nilijua mtakuja tu huwa nasifia panapobd na nakosoa panapo bd kwa hyo hili ni jukwaaa huru kila mtu ana hak nalo kwahyo ukiamni anacho Fanya lisu ni sahihi maana ndio mawzo yako na si kila mtu atapenda upendavyoKamongo mkubwa wewe!Hawa wabunge waliopo wamefanya lipi la.maana zaidi ya kuisafisha serikali thidi ya ripoti ya CAG?
Nafuu uweke uje kuwatafsiria L7.Ngoja niweke bundle jingi
Kod zinakusanywa kama kawaida tu mbonakwani serikali imeacha kukusanya kodi jimboni huko kisa lissu hayupo huko?
Hivi ujinga huu wa wanaccm ni only kujitoa ufahamu ama ni kweli hamna akili kabisa?Kwa muda huu lisu angetumia kwa wananch wa jimbo lake na watz wote kwa ujumla ingekuwa pouwa sana.
Kuliko kufanya hvyo huko kwa ngoz whites mana hawajui wananch wa singda wanaishije
Ulitaka wabunge wa chama kinachounda serikali wasiitetee serikali? Unataka wabunge wa sisiemu waitetee chadema?Kamongo mkubwa wewe!Hawa wabunge waliopo wamefanya lipi la.maana zaidi ya kuisafisha serikali thidi ya ripoti ya CAG?
Unaonaje mkuu kama angekuoa?Namkubali Sana huyu jamaa
Hakuna wasiojulikana mzee ukwel wote anaujua lisu na dereva wake ningemuona wamaana angerudi tz tuone atafanyajwe alete hoja za msingi kwa sis tunaoelewa lisu kuna kitu anajua na tena akisemà baadhi ya top layer yote ya chadem watakimbia kusadikika countryWasiojulikana hawatamfuata tena akija?
Serikali ya sisiemu, kama wao wajinga nyie mnaburuzwaje na wajinga? Mko kundi gani mpaka mjinga anakuburuza?Hivi ujinga huu wa wanaccm ni only kujitoa ufahamu ama ni kweli hamna akili kabisa?
Mm s mwanapolitics Bali nawaambia ukweli muombe mungu akupe ujasiri na kusimamia jambo unalolielewaHivi ujinga huu wa wanaccm ni only kujitoa ufahamu ama ni kweli hamna akili kabisa?
Mkuu inawezekana sisi watanzania ni wajinga zaidi,you are right,yes yaani pamoja na ujinga huu bado wanatuburuza? Bado tunaaminishwa kwamba jukumu la maendeleo yetu nila mbunge,Sasa Kama jukumu Hilo nila mbunge serikali ya nini Sasa? Kuvuja Pesa zetu kupitia ununuzi wa ndege na chato Airport au?inakera sanaSerikali ya sisiemu, kama wao wajinga nyie mnaburuzwaje na wajinga? Mko kundi gani mpaka mjinga anakuburuza?
Niko Tayari kulipia gharama zote za Mdahalo kati ya Mwenyekiti wa CCM na Mnadhimu mkuu wa kambi ya upinzani!
Serikali ya sisiemu, kama wao wajinga nyie mnaburuzwaje na wajinga? Mko kundi gani mpaka mjinga anakuburuza?